Ungeliweka hilo goli tulionePape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF
Siyo kigoli sema goli bora la CAF 2021/2022 kwa wanaume na wanawakeWeka kwanza video ya hicho kigoli chenyewe
Hakika, bila simba Tanzania isingetajwa na yeyote kwenye ulimwengu wa soka barani AfrikaHistoria imewekwa na mchezaji wa Simba.
Simba imetajwa, miaka iliyopita Simba imefanya makubwa lakini wengi wanabeza...
Kwani orodha ya magoli yanayoshindania imeshatangazwa?, kama ndio na hawajaliweka hilo goli basi wamezingua hao Piskas awardAlideserve hata puskas award litashinda hilo goli!
Historia imewekwa na mchezaji wa Simba.
Simba imetajwa, miaka iliyopita Simba imefanya makubwa lakini wengi wanabeza.
Simba ni fahari ya Tz.
Sasa inapigwa vita.
Na katika ligi yetu goli bora la nani???
Nguvu moja..💪💪💪Simba tupo mbaaali sana
Bdo ila hata fifa wamempongeza!Kwani orodha ya magoli yanayoshindania imeshatangazwa?, kama ndio na hawajaliweka hilo goli basi wamezingua hao Piskas award
Level ilee tulishavukaaaa zaman.Simba tupo mbaaali sana
Hapo sawa, hakika hata Fifa watalipigia chapuo liwe goli bora la mwaka dunianiBdo ila hata fifa wamempongeza!