Aibuuu aibuuuuu jasho linakutoka kwa uzi usiokuhusuuu umeshupaza shingo itakatika. Wna utopolo wenzako wenye akili wanakushangaa unabishana na ukweli. Ushindi ni chochote kinachoshindaniw hivyo kwa hili la goli bora Simba ni mshindiii piga chafya utanue mapafuUna makombe mangapi ya Africa?
Una muwaza Al Ahly na Wydad na kikosi cha kina Akpan na Onyango?
Soo Fun!
Ni jambo jema kwa Simba kutajwa kule RabatGOLI BORA la Mwaka CAF....! Congratulations P.Sakho , Viva Simba....!
Hili ni Jambo ni La Kitaifa..tuzo Ya GOLI Bora Inakuja Bongo Kwa Mara Kwanza .
Wangekuwa wao sasaWala haturingi.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 2299290
GSM abaki na utopolo yakeee, hatumtakiiiiiiiii.Simba sc imejiongezea thamani usiku,pengine hii ndo ilimfanya gsm atake klabu zote(akiwemo simba) wavae logo yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi huo mwiko nyuma , bado upo? Au umeshaung'oa?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Haswaaaaah!!!! Kwan ukiumia km hivi ni lazima upige kelele???Kwahyo makolo wana makombe mawili ya CAF msimu uliopita. Kombe la robo fainali na kombe la Sakho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia ikuingie vizureeeee, na badooooooGang la wachawi kama Hilo hakuna hasiyelijua mkuu, ukienda South Africa Unazungumzia Simba wanajua ndo Timu inayologa uwanjani tena bila aibu kuliko zote duniani.. Hadi imegongwa faini, kwa uchawi ule sidhani kama Kuna Timu Africa hii itakubali kucheza michuano ya CAF na Timu Chawi kama Simba.. Makolo mjiandae kukataliwa na Kila Timu Africa hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakosaje sasa?? Nipo hapa kuwavagaa utopwiseeee.Hukosekani kwenye hizi vagi[emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tisingepumua mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii picha ni edited(makolo et all 2022)Hili hapa hiliii
Huyu sio sakho..mbona hajavaa jezi..!! Ulisikika umoja wa maamuma na machizi kutoka jangwaniWala haturingi.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 2299290