Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

Dah inasikitisha sana kama ndio anaona ni conclusion au solution ya tatizo alafu mtu anajiita msomi sasa tofauti yako na darasa LA saba failure ni IPI? Acheni kuaibisha taaluma za watu unajilipua tu mbele ya watu unajua wangapi watakufa.
Nakuwa na mashaka sana na problems solving skills za watu wanaosoma social sciences mjitafakari sana.
🙁 🙁
 

Ndo ashaitia hivyo......Na wenyewe washasema pale ni jalalani....
 
Mkuu John The Baptist, kuna kitu nilikuomba kuhusu bandiko lako hili, kitekeleze ili kunitendea haki
P
 
Pascal tangu mwanamke wake ampige chini naona amekuwa chizi kabisa.....kule Kawe nako walimchanganya sijui atakimbilia wapi.
TCRA ni taasisi ....TCRA wana taratibu zao za kufanya kazi! sitaki kuamini kwamba Mayalla yupo makini kuliko TCRA wenyewe! NJAA ZAKE ZINAMTUMA KUIPANGIA SERIKALI NINI CHA KUFANYA ....STUPID AND PRIMITIVE IDEAS!...Mayalla rudi kijijini kwenu ukalime sio lazima kuishi mjini kama huna shughuli maalumu ya kufanya
 
Duh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…