Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 872
Ashaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, hili nitalizingatia
P
Serikali ya Magufuli itaufunga mtandao wa twitter kwa sababu ya kigogo? Yaani wamemshindwa Kigogo ataanzisha group kule telegram na tutamiminika.
Kiufupi huwezi kushindana na technology.
Paskali aje aseme mwenyewe hapa tumpe elimu.
Asiitie aibu UDSM.
Mkuu John The Baptist, kuna kitu nilikuomba kuhusu bandiko lako hili, kitekeleze ili kunitendea hakiAkizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini.
Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe ili waanze kuwaelimisha hao wachafuzi huko huko twittani.
Chanzo: Star TV
My take: Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji mkuu wa serikali
Maendeleo hayana Vyama!
Mkuu Johnthebaptist,
Kwanza asante kufuatia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, but with due respect, nakuomba uliripoti, uripoti kitu cha kweli kilicho zungumzwa.
Mimi ni muumini wa freedom of speech na freedom of expression hivyo sijasema popote Twitter ifungwe!, bali nimehamasisha uzalendo, ukikutana na mada za kuibagaza heshima ya nchi yako kwa siri za nchi yako, viongozi wako kuanikwa hadharani, nimeshauri tutangulize uzalendo, tusishabikie, nikashauri ikibidi kuepuka, tuepuke.
Hivyo naomba kwanza nitendee haki kwa ku edit heading yako na urekebishe contents ya nilichosema, pili weka post yangu hii kwenye thread start ili wanabodi wasikie nilichosema.
Natanguliza shukrani
P
Sawa mkuu nitarekebisha.Mkuu John The Baptist, kuna kitu nilikuomba kuhusu bandiko lako hili, kitekeleze ili kunitendea haki
P
Wakukurupuka katika ubora wako.Sawa mkuu nitarekebisha.
Mods: Naomba rekebisheni heading ya hiyo thread yangu accordingly!
Mwanaparokia hujambo!Wakukurupuka katika ubora wako.
Jamaa anakurupuka sana....Wakukurupuka katika ubora wako.
Comment kama hizi ndio zinamfanya huyo pascal kujiona yupo juu.....ni mjinga tuu....mlamba viatuSometimes inahitaji kuwa great thinkers kumuelewa Pascal....
Duh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini.
Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe ili waanze kuwaelimisha hao wachafuzi huko huko twittani.
Chanzo: Star TV
My take: Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji mkuu wa serikali
Maendeleo hayana Vyama!
====
Alichokisema Pascal Mayalla ni kuwa wamewaandikia barua TCRA ili wajue kuhusu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hasa twitter, kuwa tumeshindwa, hii ni kwa kuwa mambo yanayoendelea huko yanakarahisha. Ili kama tumeshindwa basi tuhamasishane kutosoma yanayoendelea twitter
View attachment 1533655
pole comrade Mayala, just wait till 30th utarudi onlineDuh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
Mpambe hana mshaharaDuh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
Mzee wa Kura mojaDuh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P