Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

Dah inasikitisha sana kama ndio anaona ni conclusion au solution ya tatizo alafu mtu anajiita msomi sasa tofauti yako na darasa LA saba failure ni IPI? Acheni kuaibisha taaluma za watu unajilipua tu mbele ya watu unajua wangapi watakufa.
Nakuwa na mashaka sana na problems solving skills za watu wanaosoma social sciences mjitafakari sana.
🙁 🙁
 
Serikali ya Magufuli itaufunga mtandao wa twitter kwa sababu ya kigogo? Yaani wamemshindwa Kigogo ataanzisha group kule telegram na tutamiminika.

Kiufupi huwezi kushindana na technology.

Paskali aje aseme mwenyewe hapa tumpe elimu.

Asiitie aibu UDSM.

Ndo ashaitia hivyo......Na wenyewe washasema pale ni jalalani....
 
Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini.

Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe ili waanze kuwaelimisha hao wachafuzi huko huko twittani.

Chanzo: Star TV

My take: Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji mkuu wa serikali

Maendeleo hayana Vyama!
Mkuu John The Baptist, kuna kitu nilikuomba kuhusu bandiko lako hili, kitekeleze ili kunitendea haki
Mkuu Johnthebaptist,
Kwanza asante kufuatia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, but with due respect, nakuomba uliripoti, uripoti kitu cha kweli kilicho zungumzwa.



Mimi ni muumini wa freedom of speech na freedom of expression hivyo sijasema popote Twitter ifungwe!, bali nimehamasisha uzalendo, ukikutana na mada za kuibagaza heshima ya nchi yako kwa siri za nchi yako, viongozi wako kuanikwa hadharani, nimeshauri tutangulize uzalendo, tusishabikie, nikashauri ikibidi kuepuka, tuepuke.

Hivyo naomba kwanza nitendee haki kwa ku edit heading yako na urekebishe contents ya nilichosema, pili weka post yangu hii kwenye thread start ili wanabodi wasikie nilichosema.

Natanguliza shukrani
P

P
 
Pascal tangu mwanamke wake ampige chini naona amekuwa chizi kabisa.....kule Kawe nako walimchanganya sijui atakimbilia wapi.
TCRA ni taasisi ....TCRA wana taratibu zao za kufanya kazi! sitaki kuamini kwamba Mayalla yupo makini kuliko TCRA wenyewe! NJAA ZAKE ZINAMTUMA KUIPANGIA SERIKALI NINI CHA KUFANYA ....STUPID AND PRIMITIVE IDEAS!...Mayalla rudi kijijini kwenu ukalime sio lazima kuishi mjini kama huna shughuli maalumu ya kufanya
 
Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini.

Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe ili waanze kuwaelimisha hao wachafuzi huko huko twittani.

Chanzo: Star TV

My take: Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji mkuu wa serikali

Maendeleo hayana Vyama!

====
Alichokisema Pascal Mayalla ni kuwa wamewaandikia barua TCRA ili wajue kuhusu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hasa twitter, kuwa tumeshindwa, hii ni kwa kuwa mambo yanayoendelea huko yanakarahisha. Ili kama tumeshindwa basi tuhamasishane kutosoma yanayoendelea twitter

View attachment 1533655
Duh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
 
Back
Top Bottom