Hilo la mtu muhimu ni wazo lako lakini kumbuka muhimu kwako si lazima ni muhimu kwangu na kibaya zaidi ni dai la yeye kutuwakilisha JF. Akisema anakuwakilisha wewe Nkaburu wala sitakuwa na neno.Pascal ni mtu muhimu sana likija suala la Taarifa zilizo kuwa Objective.
Sijui hata kama unajua maana ya cyber bullying kwani kama ni hivyo yeye ndiye mtuhumiwa namba moja kwa kudai anatuwakilisha akijua fika kuwa hatujawahi kumpa ruhusa ya kutuwakilisha QED!Nevertheless, you're right, this qualifies as a Cyber Bullying Rally
Nimesema hv, Pascal ni mtu muhimu, Likija suala la Taarifa zilizokuwa Objective. Nini hapo hukukielewa?Hilo la mtu muhimu ni wazo lako lakini kumbuka muhimu kwako si lazima ni muhimu kwangu na kibaya zaidi ni dai la yeye kutuwakilisha JF. Akisema anakuwakilisha wewe Nkaburu wala sitakuwa na neno.
Bac nieleweshe tu. Maana ya Cyber Bullying ni nini? Kwani sioni uhusiano wowote ule kwa ginsi ulivounga.🙏Sijui hata kama unajua maana ya cyber bullying kwani kama ni hivyo yeye ndiye mtuhumiwa namba moja kwa kudai anatuwakilisha akijua fika kuwa hatujawahi kumpa ruhusa ya kutuwakilisha QED!
Sikujua kwamba wewe ni Mtendaji Mwandamizi wa JF.kudai anatuwakilisha akijua fika kuwa hatujawahi kumpa ruhusa ya kutuwakilisha
Ukiona mtu anaongea huku kavaa miwani nyeusi jua tu huyo anaongea unafiki ulio dhaili moyoni mwake.Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Lissu "kutembelea jukwaa la JamiiForum" wakati akipata nafasi ya kufanya hivyo ni sahihi. Lakini ni sahihi pia kumshauri kuwa kuna takataka nyingi sana JF zinazojazwa humo na watu kama huyo Pascali zisizokuwa na maana yoyote.Mwandishi wa Habari @Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Samahani sana Nkaburu, naona nimefanya kosa kubwa sana ambalo nalijutia si kidogo. Kwa kawaida yangu mimi ni mwangalifu sana hivyo najizuia sana kuwa na mnakasha na watu aina yako.Sikujua kwamba wewe ni Mtendaji Mwandamizi wa JF.
Mkuu Tajiri Mkuu, TAJIRI MKUU WA MATAJIRI , kwanza ni kweli, mimi kwenye baadhi ya matukio, huwa najitambulisha kama ni member wa jf, lakini sijawahi kujitambulisha kama mwakilishi wa jf!.Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.
Kwa vile nimesema huwa najitambulisha kuwa mimi ni mwana jf, kujitambulisha mwana jf sio kuiwakilisha jf!.JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je, JamiiForums, ina mrengo wowote wa kisiasa?
Siku zote najitambulishaKama unaenda kwenye midahalo hiyo, jitambuloshe kwa jina la taasisi yako ya PRR
Hapa unamaanishaIwapo ukaendelea kufanya utambulisho wa uakilishi wa JamiiForums, kuna watu watakaofanya mambo ya hovyo na kusema nao pia ni wawakilishi wa JF.
Max amekusikia.Tunaomba Maxence Melo akemee mara moja Jambo hili kwani linafanya JF ionekane ni Mali ya chama cha siasa
Hapa mkuu sidhani kama amekuelewa! Ni sawa na Diblo Dibala ampigie mbuzi Solo akitegemea achezeSamahani sana Nkaburu, naona nimefanya kosa kubwa sana ambalo nalijutia si kidogo. Kwa kawaida yangu mimi ni mwangalifu sana hivyo najizuia sana kuwa na mnakasha na watu aina yako.
Nilichosahau ni kwamba JF ya sasa haina tofauti na kokoro...linazoa tu bila kuchagua. Zamani ulikuwa huwezi kujiunga humu bila kwanza kupiga hodi na kusubiri kukaribishwa.
Ukikaribishwa mezani ilikuwa lazima unawe kwanza lakini siku hizi uongozi wa JF haujali tena taratibu hizi...wapita njia hawahitaji kupiga hodi wala kunawa, imekuwa kawaida kula bila kunawa,
Life is learning... Bro nakushukuru sana kwa kuchukua siku tatu kuja na jawabu. Hakika uko specialMkuu Tajiri Mkuu, TAJIRI MKUU WA MATAJIRI , kwanza ni kweli, mimi kwenye baadhi ya matukio, huwa najitambulisha kama ni member wa jf, lakini sijawahi kujitambulisha kama mwakilishi wa jf!.
Kwa vile nimesema huwa najitambulisha kuwa mimi ni mwana jf, kujitambulisha mwana jf sio kuiwakilisha jf!.
Siku zote najitambulisha
Sijawahi hata mara moja, kujitambulisha kuwa mimi ni mwakilishi wa jf!.
- kwanza jina, jina: Pasco Mayalla
- Fani:Mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nikitumika kupitia PPR.
- Pia ni member wa JF
Hapa unamaanisha sijitambulishe kama mwana jf, ili nikifanya jambo la hovyo, nisiichafue jf kuonekana ina watu wa hovyo!. Hili neno, nitalizingatia!.
Max amekusikia.
NB. Kama hoja hii ni swali langu kwa TAL jana, wala sijajitambulisha kama jf, nimemshauri TAL na Chadema, wasome jf, wapokee ushauri wa jf, utawasaidia sana!.
P
Tafsiri yake kisheria ni kwamba, nina haki ya kuhukumiwa kwa ninacho kiongeaBeing verified its a choice kama vile ilivyo kuwakumbusha watu kwamba mimi hapa ninayeongea ndio yule aliyepo Jamii Forums ambaye ni verified...,
Makosa makubwa ya kiufundi ya Maxence Melo and JamiiForums team.Samahani sana Nkaburu, naona nimefanya kosa kubwa sana ambalo nalijutia si kidogo. Kwa kawaida yangu mimi ni mwangalifu sana hivyo najizuia sana kuwa na mnakasha na watu aina yako.
Nilichosahau ni kwamba JF ya sasa haina tofauti na kokoro...linazoa tu bila kuchagua. Zamani ulikuwa huwezi kujiunga humu bila kwanza kupiga hodi na kusubiri kukaribishwa.
Ukikaribishwa mezani ilikuwa lazima unawe kwanza lakini siku hizi uongozi wa JF haujali tena taratibu hizi...wapita njia hawahitaji kupiga hodi wala kunawa, imekuwa kawaida kula bila kunawa,
Kuna wakati JF ilionekana kuwa tishio kwa hawa wavuruga nchi, wakaamua kuleta kikosi chao cha kuisambaratisha waliposhindwa kwa kutumia vitisho na kutoweza kuwatambua waliokuwa na michango kinzani kwao.Samahani sana Nkaburu, naona nimefanya kosa kubwa sana ambalo nalijutia si kidogo. Kwa kawaida yangu mimi ni mwangalifu sana hivyo najizuia sana kuwa na mnakasha na watu aina yako.
Nilichosahau ni kwamba JF ya sasa haina tofauti na kokoro...linazoa tu bila kuchagua. Zamani ulikuwa huwezi kujiunga humu bila kwanza kupiga hodi na kusubiri kukaribishwa.
Ukikaribishwa mezani ilikuwa lazima unawe kwanza lakini siku hizi uongozi wa JF haujali tena taratibu hizi...wapita njia hawahitaji kupiga hodi wala kunawa, imekuwa kawaida kula bila kunawa,
True.Eti kada wa ccm anamshauri mwenyekiti wa chadema jinsi ya kufanya siasa yan vile mwanachama ya yanga amshauri mwenyekiti wa simba namna ya kuendesha timu hakika taifa hili limejaa matahira sn huyu mayala kwa utumbo huo si wampeleke mbuga za wanyama awe kivutio cha watalii tu
Nope tafsiri yake ki Jamii Forums, ni kwamba huyu aliyepo hapa sisi kama Platform tumehakikisha kwamba ni yeye ndiye, na sio mtu tu kaamua kujiita Trump wakati ni Bakari au hata kama ni Trump sio yule USA Trump (kwahio wanaweza wakakushauri uongezee Trump wa Mabwepande)Tafsiri yake kisheria ni kwamba, nina haki ya kuhukumiwa kwa ninacho kiongea
Mstari huo wa pili, inawezekana ikawa kweli; lakini una utata mkubwa.Makosa makubwa ya kiufundi ya Maxence Melo and JamiiForums team.
Warudi kwenye misingi, za chini ya kapeti, Rwanda wanaotumia JF kuipeleleza Tz
Kwa vile jf ya sasa ni kama kokoro, mimi huwa sijibu kila utumbo unaopostiwa humu jf kunihusu, jana ulipoposti utumbo huu, ukinituhumu kujiita mwakilishi wa jf, kwa vile mimi sijawahi kujiita mwakilishi wa jf popote, I just ignored huo utumbo wako,Life is learning... Bro nakushukuru sana kwa kuchukua siku tatu kuja na jawabu. Hakika uko special
Mkuu Wa Ufukwe, Waufukweni , thanks for this, ni kweli nimemshauri TAL na Chadema, waingie jf kujichukulia ushauri wa bure. Chadema needs help.Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Asante, your observations noted.Ushauri wa kutembelea JF ni mzuri kwani kuna madini mengi sana huku.
Nje ya mada: Paschal anaongea huku ana move mikono hivyo kufanya mic isivute sauti vizuri.