Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Nilikuwa na points, niliposimama tuu, zikayeyuka, hivyo nilikuwa nazitafuta.Pasco mbona umeongea kwa kujikaza sana?
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa na points, niliposimama tuu, zikayeyuka, hivyo nilikuwa nazitafuta.Pasco mbona umeongea kwa kujikaza sana?
Asante sana mkuuMkuu Wa Ufukwe, Waufukweni , thanks for this, ni kweli nimemshauri TAL na Chadema, waingie jf kujichukulia ushauri wa bure. Chadema needs help.
P
Yes kwa Kiswahili ni njaa, ila sio njaa ya tumbo kuhitaji chakula, mayalla ni njaa ya baa la njaa, drought, famine!.Mayala maana yake njaa
Kwa kosa gani?.Nasemaje akamatwe
Can you please share kutuelimisha madhara ya member wa jf, kujitambulisha kwamba yeye ni jf member?Wakati wao ndio wanaona fahari na kumuunga mkono kisa tu kataja JF... Unadhani hili hawalijui??? Ni vile tu madhara ndo hawayajui...
Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Lissu "kutembelea jukwaa la JamiiForum" wakati akipata nafasi ya kufanya hivyo ni sahihi. Lakini ni sahihi pia kumshauri kuwa kuna takataka nyingi sana JF zinazojazwa humo na watu kama huyo Pascali zisizokuwa na maana yoyote.
Huyu anaye jiita mwandishi, na sasa kujipachika uwakilishi wa JF hajawahi kutoa mchango wowote wa maana katika jukwa hili la JF.
Kwa hiyo, Tundu Lissu, au wawakilishi wa chama hicho wakiamua kuja humu ni muhimu wajue kuwa itakuwa ni kupoteza muda na michango ya aina ya anayo itoa huyu mtu wa CCM.
Kwanza CCM wenyewe hawaoni mchango wowote wa maana toka kwake, mbali ya kujaza takataka tu na kupotezea wasomaji muda.
Nimemnafikia nani?Mnafiki sana huyo jamaa.
Nitakushukuru sana, kama utanionyesha hata bandiko langu moja tuu la kichawa chawa!.Halafu anatabia za kichawa sema anajificha ficha
JF ya sasa imelamba asali...Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.
JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je, JamiiForums, ina mrengo wowote wa kisiasa?
Kama unaenda kwenye midahalo hiyo, jitambuloshe kwa jina la taasisi yako ya PRRRR.
Iwapo ukaendelea kufanya utambulisho wa uakilishi wa JamiiForums, kuna watu watakaofanya mambo ya hovyo na kusema nao pia ni wawakilishi wa JF.
Tunaomba Maxence Melo akemee mara moja Jambo hili kwani linafanya JF ionekane ni Mali ya chama cha siasa
View: https://youtube.com/shorts/iv7asnge8Qo?si=XeHsRWFa6L60wQc3
Nilipita YouTube nimeona hiyo clip ,nikaamua nisikilize na kupitia comments, maana heading waliyomwandikia imempaaisha ila haiendani na alichoongea.
Pascal Mayalla pitia mitaa hiyo ukajionee maoni pia
Huyu mtu ukimsikiliza kwenye hii clip na kauli zake za muda hadi muda utagundua ni kuwa sio mtu anayemaanisha anachokisema na pengine huwa haeleweki yuko wapi kama ulivyotumia jina la "popo" watu kama Pascal ni hatari maana ni muda wowote anatoka relini sababu hana consistency.Asante mkuu 'matrix', kwa kuweka hicho kipande ambacho nimesita kwa muda kukisikiliza toka awali.
Huyu bwana tokea mwanzo wake kuingia humu JF, baada ya kusoma maandishi yake kadhaa nilipoteza hamu kabisa ya kuendelea kumsoma. Tokea mwanzo nilimpa jina la 'Popo' kwa kukosa utambulisho wa anacho simamia.
Sasa naona hata mwonekano wa sura yake umebadilika haraka sana!
Huyu ni 'opportunist' tu, anaye tafuta fursa hata kwenye majalala.
Unamaanisha nini?JF ya sasa imelamba asali...
Asante kwa kujibu utumboKwa vile jf ya sasa ni kama kokoro, mimi huwa sijibu kila utumbo unaopostiwa humu jf kunihusu, jana ulipoposti utumbo huu, ukinituhumu kujiita mwakilishi wa jf, kwa vile mimi sijawahi kujiita mwakilishi wa jf popote, I just ignored huo utumbo wako,
na leo nimekujibu kwasababu tuu post yako imeletwa humu kwenye bandiko hili. Mimi na post za utumbo utumbo, tuko mbalimbali!, ukiniletea utumbo, utakula like yangu kuku notify kuwa nimekusoma, that's it, lakini huwa sijibu post za utumbo utumbo!.
P
Namaanisha imelamba asaliUnamaanisha nini?
Kaka mkubwa Mayala, anashauri kama mgeni wa nchi hii. Ni kama amefika Tanzania jana na kupitiliza kwenye kikao hicho.Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Kwani kabla y Hilo bwawa umeme Haikuwepo? Hilo bwawa ndio alfa na omega wa umeme hapa Tanzania?Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.
Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi?
Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika kwelikweli kiasi kwamba wakulima wamekosa mazao yao kwa kukauka shambani, lakini bado mafisadi yanaona aibu kutangaza mgao wa umeme kwa sababu wanaogopa watawaambia nini Watanzania kwa sababu wanajua bwawa lao la umeme walilojengewa na Rais wa wanyonge limekamilika na linauwezo wa kutoa megawati 2115.
Mafisadi kwa vikao vyao yanajiuliza sasa tutakula wapi? Na yanapofikia hiyo hatua humlaani Hayati Magufuli kwa kuanzisha ujenzi wa bwawa hilo na yakimaliza yanamlaani pia Rais Samia kwa kukubali kumalizia miradi yote iliyoachwa na Magufuli ikiwemo hilo bwawa la umeme.
Matarajio ya mafisadi ilikuwa ni kwamba pale tu Magufuli alipofariki na ujenzi wa bwawa ungeishia hapo.
Mtu akikuletea utumbo, huwa nina ignore, utumbo wako jana nili ignore, ila leo nilipokutana nao tena kwenye bandiko lenye akili, then nikajikuta ukiagiza utumbo, unaletewa utumbo, sio mtu unaagiza utumbo, unasubiri kuletewa steki, fillet au maini, ni utaletelewa ulichoagiza, garbage in, garbage out!. Mtu hujawahi kutamka popote unaiwakilisha au mwakilishi wa jf, halafu anaibuka kichaa fulani na kukuanzishia uzi!, tena una bahati, umeleta utumbo ukajibiwa kwa utumbo!, next time usirudie kabisa kuchafua majina ya watu!, watu wengine sio mchezo, unaweza kumletea utumbo, badala ya kukurudishia utumbo, akakupelekea moto!.Asante kwa kujibu utumbo
😂😂😂😂 ila piaSamahani sana Nkaburu, naona nimefanya kosa kubwa sana ambalo nalijutia si kidogo. Kwa kawaida yangu mimi ni mwangalifu sana hivyo najizuia sana kuwa na mnakasha na watu aina yako.
Nilichosahau ni kwamba JF ya sasa haina tofauti na kokoro...linazoa tu bila kuchagua. Zamani ulikuwa huwezi kujiunga humu bila kwanza kupiga hodi na kusubiri kukaribishwa.
Ukikaribishwa mezani ilikuwa lazima unawe kwanza lakini siku hizi uongozi wa JF haujali tena taratibu hizi...wapita njia hawahitaji kupiga hodi wala kunawa, imekuwa kawaida kula bila kunawa,
...haikuwa sahihi, it was not just factually incorrect but a deliberate attempt to mislead readers, a tactic unbecoming of someone in your position.anatuwakilisha akijua fika kuwa hatujawahi kumpa ruhusa
Wewe ulicheza?😂😂😂😂😂🎶🎵🎶🎵Hapa mkuu sidhani kama amekuelewa! Ni sawa na Diblo Dibala ampigie mbuzi Solo akitegemea acheze
Huyu mtu ukimsikiliza kwenye hii clip na kauli zake za muda hadi muda utagundua ni kuwa sio mtu anayemaanisha anachokisema na pengine huwa haeleweki yuko wapi kama ulivyotumia jina la "popo" watu kama Pascal ni hatari maana ni muda wowote anatoka relini sababu hana consistency.
Hii ni clip ya miaka 12 iliyopita ila Pascal ni yule yule mwendo wa kinyonga japo atajitetea huyo Pasco wa JF anayemtaja hapo ni kabla hajawa verified ila issue ya chama na mabadiliko anayoyaongea utagundua wala hamaanishi na watu kama hawa ndio alipotakaa kuwahoji rafiki zangu alipokuwa ziara moja hivi niliwatahadharisha sana maana ni mtu asiyeaminika hata sekunde moja anachokiongea hamaanishi.
View: https://youtu.be/2Nkp9kR8SnI?si=_pF-N1fAauPuLiaz