Pre GE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

Pre GE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mayala maana yake njaa
Yes kwa Kiswahili ni njaa, ila sio njaa ya tumbo kuhitaji chakula, mayalla ni njaa ya baa la njaa, drought, famine!.
Kwa Kiswahili kina upungufu wa vocabulary,
Empty stomach - ni njaa
Hungry man - ni njaa
Drought -ni njaa
Famine - ni njaa!.
P
 
Lissu "kutembelea jukwaa la JamiiForum" wakati akipata nafasi ya kufanya hivyo ni sahihi. Lakini ni sahihi pia kumshauri kuwa kuna takataka nyingi sana JF zinazojazwa humo na watu kama huyo Pascali zisizokuwa na maana yoyote.
Huyu anaye jiita mwandishi, na sasa kujipachika uwakilishi wa JF hajawahi kutoa mchango wowote wa maana katika jukwa hili la JF.
Kwa hiyo, Tundu Lissu, au wawakilishi wa chama hicho wakiamua kuja humu ni muhimu wajue kuwa itakuwa ni kupoteza muda na michango ya aina ya anayo itoa huyu mtu wa CCM.
Kwanza CCM wenyewe hawaoni mchango wowote wa maana toka kwake, mbali ya kujaza takataka tu na kupotezea wasomaji muda.

View: https://youtube.com/shorts/iv7asnge8Qo?si=XeHsRWFa6L60wQc3

Nilipita YouTube nimeona hiyo clip ,nikaamua nisikilize na kupitia comments, maana heading waliyomwandikia imempaaisha ila haiendani na alichoongea.

Pascal Mayalla pitia mitaa hiyo ukajionee maoni pia
 
Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.

JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je, JamiiForums, ina mrengo wowote wa kisiasa?

Kama unaenda kwenye midahalo hiyo, jitambuloshe kwa jina la taasisi yako ya PRRRR.

Iwapo ukaendelea kufanya utambulisho wa uakilishi wa JamiiForums, kuna watu watakaofanya mambo ya hovyo na kusema nao pia ni wawakilishi wa JF.

Tunaomba Maxence Melo akemee mara moja Jambo hili kwani linafanya JF ionekane ni Mali ya chama cha siasa
JF ya sasa imelamba asali...
 

View: https://youtube.com/shorts/iv7asnge8Qo?si=XeHsRWFa6L60wQc3

Nilipita YouTube nimeona hiyo clip ,nikaamua nisikilize na kupitia comments, maana heading waliyomwandikia imempaaisha ila haiendani na alichoongea.

Pascal Mayalla pitia mitaa hiyo ukajionee maoni pia

Asante mkuu 'matrix', kwa kuweka hicho kipande ambacho nimesita kwa muda kukisikiliza toka awali.
Huyu bwana tokea mwanzo wake kuingia humu JF, baada ya kusoma maandishi yake kadhaa nilipoteza hamu kabisa ya kuendelea kumsoma. Tokea mwanzo nilimpa jina la 'Popo' kwa kukosa utambulisho wa anacho simamia.

Sasa naona hata mwonekano wa sura yake umebadilika haraka sana!
Huyu ni 'opportunist' tu, anaye tafuta fursa hata kwenye majalala.

Hivi hapo alipokuwa akizungumza alikuwa amelewa, au anazo changamoto gani zinazo msibu maanake mwonekano unatisha. Pengine hayo mawani meusi yanaficha mengi!
 
Asante mkuu 'matrix', kwa kuweka hicho kipande ambacho nimesita kwa muda kukisikiliza toka awali.
Huyu bwana tokea mwanzo wake kuingia humu JF, baada ya kusoma maandishi yake kadhaa nilipoteza hamu kabisa ya kuendelea kumsoma. Tokea mwanzo nilimpa jina la 'Popo' kwa kukosa utambulisho wa anacho simamia.

Sasa naona hata mwonekano wa sura yake umebadilika haraka sana!
Huyu ni 'opportunist' tu, anaye tafuta fursa hata kwenye majalala.
Huyu mtu ukimsikiliza kwenye hii clip na kauli zake za muda hadi muda utagundua ni kuwa sio mtu anayemaanisha anachokisema na pengine huwa haeleweki yuko wapi kama ulivyotumia jina la "popo" watu kama Pascal ni hatari maana ni muda wowote anatoka relini sababu hana consistency.

Hii ni clip ya miaka 12 iliyopita ila Pascal ni yule yule mwendo wa kinyonga japo atajitetea huyo Pasco wa JF anayemtaja hapo ni kabla hajawa verified ila issue ya chama na mabadiliko anayoyaongea utagundua wala hamaanishi na watu kama hawa ndio alipotakaa kuwahoji rafiki zangu alipokuwa ziara moja hivi niliwatahadharisha sana maana ni mtu asiyeaminika hata sekunde moja anachokiongea hamaanishi.


View: https://youtu.be/2Nkp9kR8SnI?si=_pF-N1fAauPuLiaz
 
Kwa vile jf ya sasa ni kama kokoro, mimi huwa sijibu kila utumbo unaopostiwa humu jf kunihusu, jana ulipoposti utumbo huu, ukinituhumu kujiita mwakilishi wa jf, kwa vile mimi sijawahi kujiita mwakilishi wa jf popote, I just ignored huo utumbo wako,
na leo nimekujibu kwasababu tuu post yako imeletwa humu kwenye bandiko hili. Mimi na post za utumbo utumbo, tuko mbalimbali!, ukiniletea utumbo, utakula like yangu kuku notify kuwa nimekusoma, that's it, lakini huwa sijibu post za utumbo utumbo!.
P
Asante kwa kujibu utumbo
 
Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.

Kaka mkubwa Mayala, anashauri kama mgeni wa nchi hii. Ni kama amefika Tanzania jana na kupitiliza kwenye kikao hicho.
Amesahau kuwa, hicho anachomshauri Lissu akifanye, Lowasa alikuja nacho Chadema na kikaanza kutekelezwa. Mpaka mwenyekiti mstaafu Mbowe anamaliza muda wake wa uongozi wa Chadema, hizo ndizo siasa alizokua anazipractice. Labda, Paschal ajiulize, Siasa hizo anazozishauri yeye, ambazo Chadema wamezitumia kwa miaka kumi iliyopita, zimekijenga Chama au zimekiharibu? Katika hilo, Linganisha na siasa anazozihimiza Lissu ambazo kimsingi zinaturudisha kwa Chadema ile ya 2005 hadi 2015.

Katika mazingira ya siasa za CCM za sasa, kuna nafasi ya Chama cha Upinzani kufanya siasa za Kimkakati Wakatoboa?

Kumbuka kuwa, Siasa za Kimkakati ziliwafanya Chadema wasusie uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, na CCM wakashangilia na kupita nao bila aibu. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 nao ukafanyika katika mazingira hayo hayo, Chadema walivuna chochote?
Uchaguzi wa serikali za mitaa nao wa mwaka jana , mambo yalikua yaleyale.

Huwezi kupractice ustaarabu kwenye mitaa ya Masela. Wasela wanatakiwa kama Mbwai iwe Mbwai.

Ni ushauri wangu tuu.
#KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.

Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi?

Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika kwelikweli kiasi kwamba wakulima wamekosa mazao yao kwa kukauka shambani, lakini bado mafisadi yanaona aibu kutangaza mgao wa umeme kwa sababu wanaogopa watawaambia nini Watanzania kwa sababu wanajua bwawa lao la umeme walilojengewa na Rais wa wanyonge limekamilika na linauwezo wa kutoa megawati 2115.

Mafisadi kwa vikao vyao yanajiuliza sasa tutakula wapi? Na yanapofikia hiyo hatua humlaani Hayati Magufuli kwa kuanzisha ujenzi wa bwawa hilo na yakimaliza yanamlaani pia Rais Samia kwa kukubali kumalizia miradi yote iliyoachwa na Magufuli ikiwemo hilo bwawa la umeme.

Matarajio ya mafisadi ilikuwa ni kwamba pale tu Magufuli alipofariki na ujenzi wa bwawa ungeishia hapo.
Kwani kabla y Hilo bwawa umeme Haikuwepo? Hilo bwawa ndio alfa na omega wa umeme hapa Tanzania?
 
Asante kwa kujibu utumbo
Mtu akikuletea utumbo, huwa nina ignore, utumbo wako jana nili ignore, ila leo nilipokutana nao tena kwenye bandiko lenye akili, then nikajikuta ukiagiza utumbo, unaletewa utumbo, sio mtu unaagiza utumbo, unasubiri kuletewa steki, fillet au maini, ni utaletelewa ulichoagiza, garbage in, garbage out!. Mtu hujawahi kutamka popote unaiwakilisha au mwakilishi wa jf, halafu anaibuka kichaa fulani na kukuanzishia uzi!, tena una bahati, umeleta utumbo ukajibiwa kwa utumbo!, next time usirudie kabisa kuchafua majina ya watu!, watu wengine sio mchezo, unaweza kumletea utumbo, badala ya kukurudishia utumbo, akakupelekea moto!.
P
 
Samahani sana Nkaburu, naona nimefanya kosa kubwa sana ambalo nalijutia si kidogo. Kwa kawaida yangu mimi ni mwangalifu sana hivyo najizuia sana kuwa na mnakasha na watu aina yako.

Nilichosahau ni kwamba JF ya sasa haina tofauti na kokoro...linazoa tu bila kuchagua. Zamani ulikuwa huwezi kujiunga humu bila kwanza kupiga hodi na kusubiri kukaribishwa.

Ukikaribishwa mezani ilikuwa lazima unawe kwanza lakini siku hizi uongozi wa JF haujali tena taratibu hizi...wapita njia hawahitaji kupiga hodi wala kunawa, imekuwa kawaida kula bila kunawa,
😂😂😂😂 ila pia

Nimesikitika sana😫

Your response falls short of the weight and insight you claim to possess. If you truly paid attention to what Pascal said, you would know that your claim-that he represented JF- is blatantly false!

Kichwa cha mada kilikuwa kinapotosha(kiko wapi sasa🤔)na kwa kuzingatia your apparent expertise, your misstep is inexcusable.

Perhaps your intent is far more concerning and your gang of bullies(watasoma hapa) to discredit him, diminish his standing, and undermining his credibility.

Mfano hapa uliposema
anatuwakilisha akijua fika kuwa hatujawahi kumpa ruhusa
...haikuwa sahihi, it was not just factually incorrect but a deliberate attempt to mislead readers, a tactic unbecoming of someone in your position.

If so, this borders on targeted harrasment(just like your cronies;they know who they are😉🫢)- Cyber Bullying in disguise-and is unacceptable.

An Insinicere apology cannot mask the damage done.

Have a good day.
 
Huyu mtu ukimsikiliza kwenye hii clip na kauli zake za muda hadi muda utagundua ni kuwa sio mtu anayemaanisha anachokisema na pengine huwa haeleweki yuko wapi kama ulivyotumia jina la "popo" watu kama Pascal ni hatari maana ni muda wowote anatoka relini sababu hana consistency.

Hii ni clip ya miaka 12 iliyopita ila Pascal ni yule yule mwendo wa kinyonga japo atajitetea huyo Pasco wa JF anayemtaja hapo ni kabla hajawa verified ila issue ya chama na mabadiliko anayoyaongea utagundua wala hamaanishi na watu kama hawa ndio alipotakaa kuwahoji rafiki zangu alipokuwa ziara moja hivi niliwatahadharisha sana maana ni mtu asiyeaminika hata sekunde moja anachokiongea hamaanishi.


View: https://youtu.be/2Nkp9kR8SnI?si=_pF-N1fAauPuLiaz

Najikuta nikiendelea kushiriki kwenye mada mbovu kama hii; hata hivyo ninakushukuru mkuu 'Matrix' kwa kuleta kumbukumbu zinazoonyesha uhafifu wa mijadala yetu siku hizi hapa JF.

Hebu tazama mameno yanayotamkwa kama haya yafuatayo: "Acha Siasa za Harakati - Badilika - Huyu Mama Anakupenda - Ana Huruma"
Haya maneno anaambiwa Lissu, bila shaka na huyo huyo mwenye njaa! Na kwa kweli sasa hivi hata sura yake inaonyesha njaa imekaza zaidi. Haya maneno sina shaka analenga akina Abduli wayasikie au wayasome!
 
Back
Top Bottom