kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kwani mkuu wewe ni mgeni na Lissu aliamua kujilipua lakini ghafla ujio wa mama kabadili mawazo!Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?
Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?
Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?
Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Kwani Ukiwa ULAYA HUIBIWI? Vitu vingine haviitaji kutumia Akili kubwa tumia hata Akili ya kukuSijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?
Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?
Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?
Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Jiwe na minions wake
Ninachokiona hapo ni kuwa Tudu Lissu akutegemea kama mama atakutana nae, alipoomba kukutana nae alikuwa katupa turufu na alishakuwa na jibu la kukataliwa kuonana nae kwa 100%, ili apayuke kisiasa. Mama kamziba mdomo na akawa hana la kusema hajui amwambie nini, akaanza kubwabwaja.
Wew umekuwa mgeni na nchi mpaka unashangaa kumtumia rais ili aipate passport yake?Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?
Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?
Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?
Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Sasa huyo jiwe yuko wapi?
Lissu anafahamu taratibu zote na lazima ameshazifuata.Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?
Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?
Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?
Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Mwezi mpevu kabisa tena sasa ni mwezi wa Raajab.Mwezi mchanga taratibu Bibie wa Mtaa Kipata.
Upo sahihi kabisa alichokifanya kundu ni mambo ya kitoto kweli kweli.Jamaa amepagawa, mwanzo alisema anarudi TZ mwezi wa 3 sijui wa 5, leo anaomba Rais amhakikishie usalama wake ili arudi. Badala ya kuzungumza na Rais mambo ya msingi kama anavyoropoka akiwa huko kwa space amefyata anaomba vitu vya kitoto mno.
Ndo akamwomba na passport? 🤣🤣🤣Ninachokiona hapo ni kuwa Tudu Lissu hakutegemea kama mama atakutana nae, alipoomba kukutana nae alikuwa katupa turufu na alishakuwa na jibu la kukataliwa kuonana nae kwa 100%, ili apayuke kisiasa. Mama kamziba mdomo na akawa hana la kusema hajui amwambie nini, akaanza kubwabwaja.
Hivi ulikuwa na fununu ya kupotea paspoti kutoka 'space' yoyote ya wana'space' kabla ya jana?Lissu anafahamu taratibu zote na lazima ameshazifuata..
Picha ninayoipata hapa ni kwamba anapata usumbufu mahali either ubalozini au popote pale na ndio maana katumia nafasi hii kumwambia mwenye Mamlaka..
Hata Mange Kimambi alisumbuliwa sana kupata passport kwa miaka kadhaa mpaka akatumia nafasi ya kumuomba Rais Samia kupitia Wasaidizi wake ndio akatoa amri apewe passport.
Sasa afanye nini zaidi, hiyo turufu nyingine ili aulizwe kama ulivyouliza wewe, aanze kubwabwaja "tunaonewa" "hakuna chaguzi huru" "tunanyimwa passport tusirudi". Ni chambo tu cha kijinga kakiweka.Ndo akamwomba na passport? 🤣🤣🤣
Sasa afanye nini zaidi, hiyo turufu nyingine ili aulizwe kama ulivyouliza wewe, aanze kubwabwaja "tunaonewa" "hakuna chaguzi huru" "tunanyimwa passport tusirudi". Ni chambo tu cha kijinga kakiweka.
We hukuona tweet yake akisema anarejea nyumbani, humu ndani vichaa wakapigiza kelele kuwa Lissu anarudi atamhenyesha Rais?? Tukawaambia hamjua nguvu ya Rais, leo kiko wapi?? Maombi ya Lissu na Zitto yana utofauti gani? Nyie ni vichaaTuache siasa, hujui hata alisema atarudi lini. Waacheni wapinzani wahoji serikali, ambako kuhoji kwake waita kuropoka, uliyepo madaraka uwe waleta majibu sahihi.
Good pointKwamba huelewi anaposema ameibiwa passport? Kama aliibiwa mkoba wenye passport, leseni, pesa, nguo za ndani, kitabu cha katiba ya chama chake na vitu vingine, je alipaswa avitaje vyote?
Suala la nani aliiba passport anajua aliyeiba. Inawezekana ni wale ambao hawataki arudi Tanzania.
Kuhusu kumwambia Rais, ukiacha kuwa Rais ni taasisi, anayeshika nafasi ni mtu. Kila mtu huomba msaada kwa mtu mwenye connection na kitu fulani. Kama wewe una jamaa uhamiaji kwani ni shida kuomba msaada? Sasa yeye kakutana na mtu mwenye nafasi ya juu, na inawezekana alikuwa anakataliwa kupewa passport nyingine. Kaomba msaada kwa mtu mwenye connection naye.
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Kwamba Jiwe alifufuka mwezi mmoja uliopita!!?Jiwe na minions wake
Ndugai ni laana kwa taifaNdugai alimkatalia wazi wazi kutomlipa hela za matibabu alimkatalia kwa misingi gani na wakati huo huo anaona Watanzania wanajichangisha mia mia atibiwe nani alihoji kuhusu hili...
Si ndio maana karma inamtafuna..Ndugai ni laana kwa taifa
Yule bora afe kabisa hana faida kwa taifa wala familia akeSi ndio maana karma inamtafuna..