Wakati tunajadili haya mambo tufike Mahala tufikirie na Mazingira waliyonayo akina Lisu kwa sasa. Wewe unajua aliyeiba hiyo Passport? Kwamba Lisu hajui taratibu?Taratibu za kupata passport mpya kama uliyokuwa nayo imepotea, zipo wazi.
Kwa nini uombe msaada wa Rais?
Kama alikuwa anakataliwa, alikuwa anakataliwa kwa misingi gani?
Bado sielewi aisee!
Kwahio unataka kutuambia hakuwa na passport au ime-expire?Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
...
Kamuulize aliyemkatalia...Nani sasa anayemkatalia na anamkatalia kwa misingi gani?
Sasa raiis anatoa passport? Kwani utaratibu hsufahamiki? Namwona samia akicheza na nyani.
Mkuu kuna watu Wana hofu Sana kwa Rais kukutana na Kiongozi/Viongizi wa juu wa Chadema. Na hili ni wazi kuwa watesi wao wanajulikana kupitia Viongizi hao.Tuache siasa, hujui hata alisema atarudi lini. Waacheni wapinzani wahoji serikali, ambako kuhoji kwake waita kuropoka, uliyepo madaraka uwe waleta majibu sahihi.
Ndiyo. Kasema ameibiwa mwezi uliopita.Kwani amesema ameibiwa mwezi uliopita? Labda aliibiwa kipindi jiwe yupo hai? Maana ameondoka nchini punde baada ya uchaguzi
Si ndo maana nimeuliza! Au sikupaswa hata kuuliza?Wakati tunajadili haya mambo tufike Mahala tufikirie na Mazingira waliyonayo akina Lisu kwa sasa. Wewe unajua aliyeiba hiyo Passport? Kwamba Lisu hajui taratibu? Umeajuaje kwamba ameomba msaada toka kwa Rais baada ya wanao dhani ni Watanzania zaidi wamemkatalia kumpa Passport nyingine??? Huenda pia walioiba wanajua fika wanachokifanya. Ni wazo tu
Mkuu hiyo passport iliibiwa kwa sababu .... hizo process zipo ila zinaweza zisifuatwe kwa sababu zao.Taratibu za kupata passport mpya kama uliyokuwa nayo imepotea, zipo wazi.
Kwa nini uombe msaada wa Rais?
Kama alikuwa anakataliwa, alikuwa anakataliwa kwa misingi gani?
Bado sielewi aisee!
Hapo umemaliza. Hasa sentence kuna uwezekano mkubwa alikuwa anaomba passport nyingine alikuwa anakataliwa. Sasa kakutana na mkuu wa hao majambaKwamba huelewi anaposema ameibiwa passport? Kama aliibiwa mkoba wenye passport, leseni, pesa, nguo za ndani, kitabu cha katiba ya chama chake na vitu vingine, je alipaswa avitaje vyote?
Suala la nani aliiba passport anajua aliyeiba. Inawezekana ni wale ambao hawataki arudi Tanzania.
Kuhusu kumwambia Rais, ukiacha kuwa Rais ni taasisi, anayeshika nafasi ni mtu. Kila mtu huomba msaada kwa mtu mwenye connection na kitu fulani. Kama wewe una jamaa uhamiaji kwani ni shida kuomba msaada? Sasa yeye kakutana na mtu mwenye nafasi ya juu, na inawezekana alikuwa anakataliwa kupewa passport nyingine. Kaomba msaada kwa mtu mwenye connection naye.
Watu wajuajiaji unauhakika kuwa Lissu wajawahi toa taarifa kwenye mamlaka husika, he is not stupid as you think ndugu
Leagal documents inapopotea hatua ya kwanza ni kitoa taarifa polisi na taasisi husika, anajua madhara iliwa pass hiyo itaingia mkononi mwa watu wabaya.
Kuna uwezekano amefuata taratibu zote,lakini hawampi ushirikiano au hawataki kumpatia. Ndio hapo kakutana na uongozi wa juu,imekuwa fursa kwake. NB:- walioipiga ndio hao wanaotoaTaratibu za kupata passport mpya kama uliyokuwa nayo imepotea, zipo wazi.
Kwa nini uombe msaada wa Rais?
Kama alikuwa anakataliwa, alikuwa anakataliwa kwa misingi gani?
Bado sielewi aisee!
Mkuu watoto wa darasa la tatu wapo vizuri mimi nimeshangaa ila nashangaa wao wananishangaa mimi tena...Weweni Nyani kweli.
Hili swali alitakiwa aulize mtoto wa darasa la 3.
Sawa mkuu uwe na siku njema Crimea
Sawasawa....Kwamba huelewi anaposema ameibiwa passport? Kama aliibiwa mkoba wenye passport, leseni, pesa, nguo za ndani, kitabu cha katiba ya chama chake na vitu vingine, je alipaswa avitaje vyote?
...
Mzee Mwanakijiji ina maana hata wakati wa Magufuli walimzungusha kumpa pasipoti yake?Mkuu hiyo passport iliibiwa kwa sababu .... hizo process zipo ila zinaweza zisifuatwe kwa sababu zao.
Unakumbuka Jenerali Ulimwengu kabla ya kumvua Uraia walimuibia Passport kwanza...
Unafikiri uko sawa sio?Hujawahi kuwa sawa Mkuu mimi mwanzo nilidhani ni roboti...
Kuishi ugenini bila pasi ya kusafiria unaweza. Kwa sababu pasipoti siyo kibali cha kuishi ugenini.Mwenye kuweza kujibu hayo maswali kwa ufasaha ni Lissu mwenyewe...
Na mwenye kutueleza anaishi vipi ugenini pasipokuwa na pasi ya kusafiria ni Lissu mwenyewe pia...