Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Unajua ukiibiwa au kupoteza pasi,utaratibu wake kupata nyingine ngumu sana,sasa kwa mtu kama lissu,ndio kabisa,upo uwezekano jamaa wameikalia,ila rais akisema mpeni wanampa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Lisu ameyapenda maisha ya wazungu, suala la pasport ukiibiwa ukiwa nje ya nchi taratibu zinafahamika ni kutoa taarifa kwenye ubalozi wa nchi yako na hatua za msingi zinafuata,kuhusu kuhakikishiwa usalama wake alishafutiwa kesi zote huku Tanzania sasa anataka nini hiyo heshima anayotaka aache kujidanganya,tatu kuhusu mafao yake bungeni wakati alipofika kwenye kampeni ilibidi aende ofisi za bunge na kueleza kuwa hakupewa mafao yake sababu tangu alivyotoka bungeni baada ya kupigwa risasi hajakanyaga tena viwanja vya bunge zaidi ya kumshambulia kwa maneno mitandaoni aliyekuwa spika Job Ngugai,la mwisho hao waliopo Canada hawana habari ya kurudi Tanzania sababu hawana kesi yoyote kwenye mahakama yoyote au kuhitajika na polisi kituo chochote wanabeba box huko wapate hela za kampeni kwenye uchaguzi ujao.
 
Nomebidi niangalie id yako, kuna watu comments zao unajua huyu ni mbumbu, huyu maadili hakuna, elimu sifuri, au mbita banghi ila wewe unavuta baghi
baghi ndio nini, zumbu kuku wewe. Kielimu hunizidi, kimaadili nimekuacha mbali choko wewe!
 
Taratibu za kupata passport mpya kama uliyokuwa nayo imepotea, zipo wazi.

Kwa nini uombe msaada wa Rais?

Kama alikuwa anakataliwa, alikuwa anakataliwa kwa misingi gani?

Bado sielewi aisee!
Bro inawezekana kabisa jamaa wameikalia,mimi nilipoteza na nilifata taratibu zote,na kuweka nyaraka zote but jamaa waliikalia mpaka nilipata connection nilimwambia magu,baada ya dakika 30nilipigiwa simu nije dar kuichukua,na nilifanya hivyo nikapewa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuishi ugenini bila pasi ya kusafiria unaweza. Kwa sababu pasipoti siyo kibali cha kuishi ugenini.

Pasipoti ni kitambulisho tu kinachokuwezesha kusafiri kimataifa.

Nafahamu hilo, lakini ni kwenye passport ambapo kunaonesha kuingia na kutoka kwa mtu kwenye nchi, nakala ya visa/permits na pia ni kitambulisho namba moja cha uraia wa mgeni yeyote...
 
Kama mtu kaibiwa begi lenye vitu vyake ikiwepo wallet yenye passport anapaswa kutumia lugha gani kuwasilisha??

Wenzako wanabeba box begani wewe unabeba box utosini ndiyo maana akili zimegadamizwa.
Angeomba msaada mtu mwingine wangeshabikia na kuzisema taasisi husika. Ila kwakuwa ni Lissu......Watanzania wengi walioko nje ungetegemea kuandika "Makubwa kuliko haya..
 
Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Mishushu yenu ndio mijizi mikubwa. Tundu Lissu anajua mwizi, na wapi passport yake ipo, ndio maana kaomba arudishiwe
 
Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Itakuwa cha pombe
 
Kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake
Lissu kaona opportunity kamuomba raisi amsaidie kupata passport...mimi nilikuwa na schoolmate pale immigration siku tukaonana yeye ndo akaniomba anisaidie kupata passport ikawa chap chap tu nikapata
 
Kwa hiyo wale ambao hatujuani na watu walioko kwenye hizi idara nyeti ndo hatuna letu kabisa?
 
Back
Top Bottom