Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #201
Si ndio amepigia asilimia 10Hizo ni hesabu za kwenye calculator....
Kwa uhakika hakuna kitu kama hicho.
Dereva kuna siku ataumwa
Ajali
Pikipiki kuharibika/service
Uchakavu
Kuibiwa
Kuletewa maneno🙂badala ya hesabu.
Ndio imekuvutia hapa uka comment kabisaFIX🤪
Swali la logic sana hili.Duh, kwa hamasa hii maisha yangekuwa rahisi sana.
Swali langu ni je, hiyo nyumba ya m.100 wangapi wanayo?
Hesabu za kwenye makaratasi.NI kweli
BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI
Statistics zaonyesha hivi
View attachment 2749912
Nimekuja dadalakeee 😘!!
Yani boda aendeshe pikpik mwaka alafu uje uiuze wewe biashara ya nchi gani hii?NI kweli
BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI
Statistics zaonyesha hivi
View attachment 2749912
Ma ondaNimekuja dadalakeee 😘!!
On the line wani endi tuu😉Ma onda
Biashara si rahisi kiasi hicho, huwezi kuwa na bdbd 50 zikafanya kazi kama ulivyoandika. Yaani zinaleta tuu hela.NI kweli
BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI
Statistics zaonyesha hivi
View attachment 2749912
Hata mm nilithubutu kuanza na mbili, ila siwezi kuongeza ya tatu kwakuwa Rejesho na Nalitumia kwa kazi nyingine. ila inanisaidia sana kutatua changamoto nyingi za kila siku.Kwenye makaratasi inawezekana sema usijaribu kufanya ni ushauri tu
InafikirishaNI kweli
BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI
Statistics zaonyesha hivi
View attachment 2749912
Yani unawekeza 2.7 millions kwenye boda af kwa siku unapata 10k tshs hiyo ni biashara ya mtu mvivu wa kufikiria! 2.7m inabid kwa siku ikupe atleast 30k net profit✌️Ngoja kwanza Penny,
Boda kuzinunua; 2 x 2,700,000 = 5,400,000
Marejesho ya siku kwa miezi sita, boda mbili; 10,000 x 30 x 6 x 2 = 3,600,000.
Yaani kwa miezi sita hizo boda mbili hazina ubavu wa kununua zingine mbili, hapo tunaweka consideration kwamba hiyo hela haiguswi, haicheleweshwi wala hakuna dharura.
Biashara ya kuwapa mkataba watu bodaboda ni upotevu wa pesa tu.
Mshahara wa ualimu😂😂😂Biashara ya bodaboda ilimfilisi GENTAMYCINE alikopa bodaboda mbili kwa mshahara wake wa ualimu zote zikapiga mzinga bunda mjini na hakuwa na insurance ya kueleweka
Hela ya bodaboda amekosa na benki kila mwezi WANAMKATA GENTAMYCINE
Biashara yoyote ni nzuri ukiwa unasimuliwa.
# elewa maana ya neno KUMKATA