Trust me ankali Member Joined Sep 22, 2018 Posts 74 Reaction score 124 Sep 4, 2024 Thread starter #21 Mad Max said: Hamna kitu unakwepa maswali Click to expand... hapana mkuu hakuna swali nimekwepa uliza hapa nitakujibu hata Pm kama unahitaji pia maelezo zaidii karibu
Mad Max said: Hamna kitu unakwepa maswali Click to expand... hapana mkuu hakuna swali nimekwepa uliza hapa nitakujibu hata Pm kama unahitaji pia maelezo zaidii karibu
Trust me ankali Member Joined Sep 22, 2018 Posts 74 Reaction score 124 Sep 4, 2024 Thread starter #22 Glenn said: Hivi vicoba vya kukaa mbali navyo wengi matapeli Click to expand... Hakuna utapeli mkuu Kfinance inafanya kazi tangu 2008 na ipo kisheria na vigezo vyote
Glenn said: Hivi vicoba vya kukaa mbali navyo wengi matapeli Click to expand... Hakuna utapeli mkuu Kfinance inafanya kazi tangu 2008 na ipo kisheria na vigezo vyote
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Sep 4, 2024 #23 Trust me ankali said: Hakuna utapeli mkuu Kfinance inafanya kazi tangu 2008 na ipo kisheria na vigezo vyote Click to expand... Mmeuza magari mangapi ya wateja?
Trust me ankali said: Hakuna utapeli mkuu Kfinance inafanya kazi tangu 2008 na ipo kisheria na vigezo vyote Click to expand... Mmeuza magari mangapi ya wateja?
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,174 Reaction score 16,794 Sep 4, 2024 #24 Trust me ankali said: Mikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu Click to expand... Asilimia 60 kwa 54. Duh!! Hivi sheria inasemaje??
Trust me ankali said: Mikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu Click to expand... Asilimia 60 kwa 54. Duh!! Hivi sheria inasemaje??
Trust me ankali Member Joined Sep 22, 2018 Posts 74 Reaction score 124 Sep 4, 2024 Thread starter #25 Glenn said: Mmeuza magari mangapi ya wateja? Click to expand... Lengo sio kuchukua magari ya wateja mkuu ,hilo si lengo
Glenn said: Mmeuza magari mangapi ya wateja? Click to expand... Lengo sio kuchukua magari ya wateja mkuu ,hilo si lengo
S salari JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,045 Reaction score 5,397 Sep 4, 2024 #26 Trust me ankali said: Mikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu Click to expand... miezi 12 x riba ya 5%=riba ya 60% kwa mwaka.🤣🤣🤣 Miezi 12 x riba ya 5.4%=riba ya 54% kwa mwaka😝😝😝😝 Wakati riba za benki nyingi ni kati ya 16% mpaka 18/20% kwa mwaka Mwenye kutaka mikopo hii ajionee jinsi mikopo hii ilivyo zaidi ya kausha damu asije sema hakujua🤑🤑🤑
Trust me ankali said: Mikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu Click to expand... miezi 12 x riba ya 5%=riba ya 60% kwa mwaka.🤣🤣🤣 Miezi 12 x riba ya 5.4%=riba ya 54% kwa mwaka😝😝😝😝 Wakati riba za benki nyingi ni kati ya 16% mpaka 18/20% kwa mwaka Mwenye kutaka mikopo hii ajionee jinsi mikopo hii ilivyo zaidi ya kausha damu asije sema hakujua🤑🤑🤑
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Sep 4, 2024 #27 Trust me ankali said: Mikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu Click to expand... Hatari hiyo...kila mwezi. So million kumi kila mwezi nakupa laki tano...mwisho wa mwaka nirejeshe 16 million
Trust me ankali said: Mikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu Click to expand... Hatari hiyo...kila mwezi. So million kumi kila mwezi nakupa laki tano...mwisho wa mwaka nirejeshe 16 million