Trust me ankali
Member
- Sep 22, 2018
- 74
- 124
- Thread starter
- #21
hapana mkuu hakuna swali nimekwepa uliza hapa nitakujibu hata Pm kama unahitaji pia maelezo zaidii karibuHamna kitu unakwepa maswali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana mkuu hakuna swali nimekwepa uliza hapa nitakujibu hata Pm kama unahitaji pia maelezo zaidii karibuHamna kitu unakwepa maswali
Hakuna utapeli mkuu Kfinance inafanya kazi tangu 2008 na ipo kisheria na vigezo vyoteHivi vicoba vya kukaa mbali navyo wengi matapeli
Mmeuza magari mangapi ya wateja?Hakuna utapeli mkuu Kfinance inafanya kazi tangu 2008 na ipo kisheria na vigezo vyote
Asilimia 60 kwa 54. Duh!! Hivi sheria inasemaje??Mikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu
Lengo sio kuchukua magari ya wateja mkuu ,hilo si lengoMmeuza magari mangapi ya wateja?
miezi 12 x riba ya 5%=riba ya 60% kwa mwaka.🤣🤣🤣Mikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu
Hatari hiyo...kila mwezi. So million kumi kila mwezi nakupa laki tano...mwisho wa mwaka nirejeshe 16 millionMikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu