Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

Mikopo ni kwa muda wa miezi 12 riba ni 5% kila mwezi kwa wafanyabiashara na 4.5% kwa wafanyakazi mkuu
miezi 12 x riba ya 5%=riba ya 60% kwa mwaka.🤣🤣🤣

Miezi 12 x riba ya 5.4%=riba ya 54% kwa mwaka😝😝😝😝

Wakati riba za benki nyingi ni kati ya 16% mpaka 18/20% kwa mwaka

Mwenye kutaka mikopo hii ajionee jinsi mikopo hii ilivyo zaidi ya kausha damu asije sema hakujua🤑🤑🤑
 
Back
Top Bottom