Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

wanakuja kuomba au kufanya kazi?
Mzee wa kule anamiliki ng'ombe 1000 utalinganisha na anae milik mgomba
Ungejua kahawa 60% inatoka kagera ,30% ya Sukari, 65% ya ndizi,20% ya maharage,80% ya vanilla nk vinatoka kagera usingeleta porojo hapa
 
Nidhania utalii na east africa HQ ingeifanya Arusha kuwa na pato kubwa kupita mikoa mingine ukiondoa Dar!!

Hili ni la miaka mingi au kwa sababu ya Covid?
Arusha haijawahi izidi Mbeya kamwe ,check hapa background data 👇

Screenshot_20210912-124500.png
 
Mimi nimeamua nikae kimya tu.

Hiv mtu unaweza linganisha uhayani na usukumani kweli[emoji23][emoji848]

Ni mbingu na Ardhi kabisa.

Kwanza hizo takwimu zinapikwa Sana juzi tu 2019 kagera ilikuwa na 4.9 tillion Sasa imeshuka na kuwa 3.5 2020 hiv kagera kumetokea kitu gan ndan ya mwaka mmoja GDP ipungue kiasi hicho.

Hlafu hiyo ramani ina walakini sijaelewa katavi na Rukwa [emoji848][emoji23][emoji23]

Yaan takwimu za bongo bwana[emoji23][emoji23]
Nshomile waitu kuna watu humu wamekushika pabaya eti wanasema nyinyi wahaya ndo mnasababisha kanda ya ziwa irudi nyuma kimaendeleo eti bila nyinyi ingekuwa ya kwanza.
 
Ndio maana mumekimbilia kwetu? 😃😂
Tumekimbilia kwenu, ndiyo tumeona mna maeneo makubwa yasiyotumika, sisi ndo tumekuja kuchukua ardhi yenu, kama vile wakoloni walivyoingia Afrika ndivyo hivyo mangosha huwa wanafanya.
 
Nshomile waitu kuna watu humu wamekushika pabaya eti wanasema nyinyi wahaya ndo mnasababisha kanda ya ziwa irudi nyuma kimaendeleo eti bila nyinyi ingekuwa ya kwanza.
Huwezi ukawa na akili timamu ukalinganisha maendeleo yaliyopo huko vijijini uhayani na usukumani hata kidogo.

Kwa Kanda ya ziwa hakuna mkoa wenye maendeleo vijijini Kama kagera . Just imagine wilaya ya muleba Ina shule zaidi ya 300 na hospital 4.

Wakati huko usukumani Kuna wilaya hazina hospital kabisa na hata lami haipo kabisa tofauti na barabara kuu[emoji23][emoji23]
 
Wakola waitu.
 
Back
Top Bottom