Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

Mda mwingine jifunze kutoonyesha upumbavu wako hadharani.
 
Unapewa contract kama ni kichwa. Si kila mtu ni wakupewa contract, wengine kusinzia tu maofisini. RIP
 
He was talented engineer,the state could not have let him go,
 
Wamemuacha babu wa watu mpaka kashfa ya ripoti ya Kichere imemuua, alipohojiwa presha ikapanda. Ila Kichere nae kaitoa kama ilivyo Tanroad wamelipa mikataba mara mbilimbili January to March 2021.
Hii huenda ndiyo sababu iliyomsepesha huyu swaiba wa Mwendazake.
 
Never ever compare a poor underdeveloped country like URT with the USA kwa lolote like.
 
Huyo hakutaka Mwenyewe bali alilazimishwa kwa maslahi ya alomtuma.

Kwa ujumla "Mwendazake"(JPM) sio tu alikuwa mnafiki bali MCHAWI.
Wanasema amekufa akiwa na miaka 68; ni nani alimuongezea muda alipotimiza 60? Mwezi kama huu, miaka 8 iliyopita ilikuwa ni awamu gani?
 
Acha kumletea Mfugale usiku wewe huoni aliyoyafanya madaraja yale wangekuja wachini kwa hela ndefu
 
Alikua a nasubiria report maalun ya BOT ije imtoe roho kwa mstuko/stress
 
Si umeshasema kanuni zinaruhusu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…