TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Sasa hizo ni habari za kusikitisha? Nyie vijana kuweni serious?
 
Umemaanisha libadilishwe kwa sababu amepewa mtu naye atakufa au libadilishwe kutoka jina lake la asili lipewe jina la mtu?

Kama ni swali #2 natamani hata leo lipewe jina la yule mkuu wa wakuu ambaye jimboni kwake mpaka leo watoto wanakaa chini lakini yeye anazungumza matatizo ya majimbo ya wenzake kana kwamba kote anaongoza yeye.

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Muonekano wake alionekana afya imedhoofu siku nyingi, alikuwa anajikaza tu. Apumzike kwa amani Mnyalukolo.
 
utakuwa unapita kwenye daraja unasoma jina pale,chaguo lako ujinyee au ujitie kidole unuse.
Mimi napita kwenye daraja kwa raha zangu, ni kodi yangu imejenga sio pesa ya mamaezenu Mijizi na Milafi = MaCCM
 
Atakuwa ameondoka na hii phase 3, watanzania tujifunze kustaafu umri ukisogea, toka 77 upo kazini kweli jamani hakuna watanzania wengine? angekuwa ametulia na wajuu haya yasingetokea labda
Aliye karibu na Mkuchika ampe salaam
 
Unaijua historia ya engineer Mfugale nchii hii bwege weweee,Au kazi kufikiri KWA kutumia masaburi.
Nyamazaa na utulize Matak**o
Tuliza Mku*duh wewe, historia zinatengenezwa pimbi wewe. Ndio maana ya Branding au unadhani yeye anawazidi Muhandisi wengine
 
Covid ya tatu hiyo

Jamaa alikuwa mwizi sana na anajua ufisadi wote waliofanya na jiwe kwenye miradi..

Aende kunakostahili.
Majitu mapumbavu kama nyie hamuishiwagi maneno!

Enewei yote maisha, bora yenu watakatifu na it's my humble hope that uko safe na safi hata kwako na kazini kwako, Mungu akubarki mno kwa kuwa mwaminifu!!


RIP easy engineer Mfugale .
 
Umesahau daraja la Kikwete
 
Hii mbona ilikanushwa kuwa sio yeye, ila ikasemekana ni mfanyakazi mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…