TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Mbowe ni tajiri chini ya utawala huu huu wa ccm.

Naamini ukijigonga hilo bichwa lako yatakujia majina ya watu matajiri hapa tz chini ya utawala huu huu wa ccm!

Diamond tu huyo hajanusa hata darasa la chuo ila ni tajiri chini ya utawala huu huu wa ccm!

Sasa wewe endelea kukaza matakle ukisikiliza porojo za Lisu kwamba ipo siku yeye akiwa rais wako na chadema ndio utakuwa tajiri! Huku ukishangilia watu waliotengeneza alama kwenye koo zao wakifa, ukihisi kwamba umasikini wa ukoo wako ni sababu ya utajiri wao,!
Wewe jamaa ni qm sana. unapataje legitimacy ya kuwananga wenzio kwamba ni masikini ilihali huwajui. Ni kwamba wewe ni tajiri sana ama
 
Namtafuta Mzee Mfugale kwenye hotuba za awamu ya sita simsikii, namtafuta kwenye vyombo vya habari simsikii tofauti na awamu iliyopita.

Je, amepotea na taaaluma yake yakudesign madaraja?
Angalia ziara ya SSH kwenye daraja la Magufuli utamuona akidada-vua
 
Afe tuu...huyu na kichaa Magu walichangia kuiba pesa zetu
Pumbavu wewe sio mwizi?
Majizi nyie na walafi wa kodi zetu , ndio chanzo cha umasikini wa ukoo wangu.
Mkafie mbali na mwingie JEHANAMU MaCCM wote.
Nyinyi CHADEMA ni wapuuzi sana kwa hiyo nyinyi wote ni wema? Juzi mzee Baregu amefariki watu wote wakatoa salamu za pole humu lakini nyinyi mnajidai wazalendo huku mkiwa mmevaa ngozi ya kondoo.Wanafiki wakubwa sana.
 
hii dunia utaijenga na hutaimaliza bali wee ndo utaisha!!
kuna mtu alikuwa na nyumba mtaa mzima,
lakini unazikwa kwenye kashimo kadogo unabanwa hadi mbavu!
kwenye jeneza tunakuona umepiga suti ya bei mbaya kumbe huku chini ndugu zako hawajakuvalisha suruali wala soksi ili kubana matumizi ya pesa zako uliowaachia zisije kuisha!

ukizikwa ndugu ndo wanapofurahi kwamba ndio muda paka kaondoka panya anatawala!!!

baba yangu alikuwa ni tajiri sana ila shida yake alikuwa anatusimanga sana kwa sababu sisi wengine tulichagua kufanyia kazi nyumbani ili faida irudi nyumbani!!

ila alipoanza kuumwa sukari ile ya kinomanoma hapo ndio tukaacha kumuogopa na kumuona ni kama duanzi tuu

ilifikia navuta msuba wangu mbele yake na kumpulizia moshi fuuuuuu!!

god forbid,
i dont give a fkkk

hata alipokufa i didnt care sababu alikuwa ni mkora sana
kuna somo kubwa kwa ulichoandika, nmetamani uendelee kutoa nondo nzito.
 
Wewe jamaa ni qm sana. unapataje legitimacy ya kuwananga wenzio kwamba ni masikini ilihali huwajui. Ni kwamba wewe ni tajiri sana ama
Kwani masikini anajificha?

Ukiona mtu anashangilia mtu tajiri kufariki au kupata tatizo ujue mtu huyo tangu ukoo wake ni masikini sana anaeamini umasikini wake umesababishwa na tajiri!

Sasa anapokuja hapa eti afe tu katuibia sana, ukimwambia weka ushahidi hana. Huyu ni masikini
 
1624974059644.jpeg
 
Nyerere hakupenda majina yake kutumika akiwa hai alisema ni uchuro.

Magufuli - Stendi, Daraja; Mfugale - tower, flyover; Kijazi - Daraja, Flyover.

Maneno ya Nyerere yanaweza kuwa na hoja.

Pale Dodoma napo pana soko nashauri jina kubadilishwa haraka.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Mbona unaonekana una makasiriko sana na Mfugale? Una ugomvi nae binafsi Mkuu,tangu mwanzo unamsimanga tu,jamani tujifunze walau jinsi ya kudeal na stress zetu za maisha.Haya ameshakufa,unadhani itakupa ahueni ya maisha wewe binafsi?
 
Unapigia chapuo kumbukumbu ya ukabila,ukanda na wizi wa fedha za umma?Hata kama nitafukiwa haina shida cha msingi na chenye maana yeye pamoja na yule BLADIFAKENII wa chato wamewahi kufukiwa.
It won't save any purpose, manake na ww unafata
 
Back
Top Bottom