Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa ni qm sana. unapataje legitimacy ya kuwananga wenzio kwamba ni masikini ilihali huwajui. Ni kwamba wewe ni tajiri sana amaMbowe ni tajiri chini ya utawala huu huu wa ccm.
Naamini ukijigonga hilo bichwa lako yatakujia majina ya watu matajiri hapa tz chini ya utawala huu huu wa ccm!
Diamond tu huyo hajanusa hata darasa la chuo ila ni tajiri chini ya utawala huu huu wa ccm!
Sasa wewe endelea kukaza matakle ukisikiliza porojo za Lisu kwamba ipo siku yeye akiwa rais wako na chadema ndio utakuwa tajiri! Huku ukishangilia watu waliotengeneza alama kwenye koo zao wakifa, ukihisi kwamba umasikini wa ukoo wako ni sababu ya utajiri wao,!
Lakini mkuu kuna umri wa kupumzikaWee Babati acha lawama. Hakuna anayejua kesho.
Alafu wamezipeleka wp!!?Afe tuu...huyu na kichaa Magu walichangia kuiba pesa zetu
Angalia ziara ya SSH kwenye daraja la Magufuli utamuona akidada-vuaNamtafuta Mzee Mfugale kwenye hotuba za awamu ya sita simsikii, namtafuta kwenye vyombo vya habari simsikii tofauti na awamu iliyopita.
Je, amepotea na taaaluma yake yakudesign madaraja?
Pumbavu wewe sio mwizi?Afe tuu...huyu na kichaa Magu walichangia kuiba pesa zetu
Nyinyi CHADEMA ni wapuuzi sana kwa hiyo nyinyi wote ni wema? Juzi mzee Baregu amefariki watu wote wakatoa salamu za pole humu lakini nyinyi mnajidai wazalendo huku mkiwa mmevaa ngozi ya kondoo.Wanafiki wakubwa sana.Majizi nyie na walafi wa kodi zetu , ndio chanzo cha umasikini wa ukoo wangu.
Mkafie mbali na mwingie JEHANAMU MaCCM wote.
it has nothing to do with him,Hii inahusiana vipi na mada ya kifo cha Mfugale?
Kwamba hakuwa anasaidia watu?
kuna somo kubwa kwa ulichoandika, nmetamani uendelee kutoa nondo nzito.hii dunia utaijenga na hutaimaliza bali wee ndo utaisha!!
kuna mtu alikuwa na nyumba mtaa mzima,
lakini unazikwa kwenye kashimo kadogo unabanwa hadi mbavu!
kwenye jeneza tunakuona umepiga suti ya bei mbaya kumbe huku chini ndugu zako hawajakuvalisha suruali wala soksi ili kubana matumizi ya pesa zako uliowaachia zisije kuisha!
ukizikwa ndugu ndo wanapofurahi kwamba ndio muda paka kaondoka panya anatawala!!!
baba yangu alikuwa ni tajiri sana ila shida yake alikuwa anatusimanga sana kwa sababu sisi wengine tulichagua kufanyia kazi nyumbani ili faida irudi nyumbani!!
ila alipoanza kuumwa sukari ile ya kinomanoma hapo ndio tukaacha kumuogopa na kumuona ni kama duanzi tuu
ilifikia navuta msuba wangu mbele yake na kumpulizia moshi fuuuuuu!!
god forbid,
i dont give a fkkk
hata alipokufa i didnt care sababu alikuwa ni mkora sana
Si bora huyu ameacha kumbukumbu....Msaidizi wa dikteta anapofariki ni jambo jema sana na la kutia matumaini.
View attachment 1834607
Kwani masikini anajificha?Wewe jamaa ni qm sana. unapataje legitimacy ya kuwananga wenzio kwamba ni masikini ilihali huwajui. Ni kwamba wewe ni tajiri sana ama
Uwezekano ni mkubwa sana.Sio corona third wave hiyo baba!?
Huyo baba yako ulitaka akufanyie nini wewe pimbi? Na wewe utazikwa hivohivo mnajitoaga ufahamu tu.kuna somo kubwa kwa ulichoandika, nmetamani uendelee kutoa nondo nzito.
tuishi vizuri na ulimwengu!kuna somo kubwa kwa ulichoandika, nmetamani uendelee kutoa nondo nzito.
Unapigia chapuo kumbukumbu ya ukabila,ukanda pamoja na wizi wa fedha za umma?!Una akili timamu?Si bora huyu ameacha kumbukumbu....
ww utafukiwa na kusahaulika kabisa
Pumbavucheti feki kila siku kulia kulia na makasiriko kwa watu ambao walikuacha mbaaali kwa kila kitu...cha zaidi ulichowazidi labda ni mzigo wa pumbu tu
Nyerere hakupenda majina yake kutumika akiwa hai alisema ni uchuro.
Magufuli - Stendi, Daraja; Mfugale - tower, flyover; Kijazi - Daraja, Flyover.
Maneno ya Nyerere yanaweza kuwa na hoja.
Pale Dodoma napo pana soko nashauri jina kubadilishwa haraka.
Au nasema uongo ndugu zangu?
It won't save any purpose, manake na ww unafataUnapigia chapuo kumbukumbu ya ukabila,ukanda na wizi wa fedha za umma?Hata kama nitafukiwa haina shida cha msingi na chenye maana yeye pamoja na yule BLADIFAKENII wa chato wamewahi kufukiwa.
Sawa mkuu, umenenait has nothing to do with him,
sisi tuliobaki tuishi vizuri tuweke legacy ya kweli kweli..
sababu maisha ni unpredictable!