Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Huwezi kujua nilichoandika.Ni vyema ukawa unajikita kwenye nyuzi zako zile.Watu ambao damu zao pamoja na nyama zao zilitumika kama fuel/mafuta ya kuendeshea serikali ya awamu ya tano watakuwa wamenielewa vyema.Mambo ambayo huyajui ni vyema kukaa kimya au kuyapita bila kuchangia.We utaishi milele na kilimi chako hichi! Mungu akubariki