TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

We utaishi milele na kilimi chako hichi! Mungu akubariki
Huwezi kujua nilichoandika.Ni vyema ukawa unajikita kwenye nyuzi zako zile.Watu ambao damu zao pamoja na nyama zao zilitumika kama fuel/mafuta ya kuendeshea serikali ya awamu ya tano watakuwa wamenielewa vyema.Mambo ambayo huyajui ni vyema kukaa kimya au kuyapita bila kuchangia.
 
Covid ya tatu hiyo

Jamaa alikuwa mwizi sana na anajua ufisadi wote waliofanya na jiwe kwenye miradi..

Aende kunakostahili.

Amemuibia nani? Kiasi gani? Ninachojua aliijenga Tanroads imara akaruhusu wale mainjia wake wafanye kazi karibu zote kwa kutumia kampuni zao.
Sio rahisi kufanya kazi za Tanroads kama wale mainjinia wake hawapati mkono wa asante. Sio rahisi kufanya kazi Tanroads kama wale mainjinia wake hawajakupa wanazogawana.
Kiufupi tenders za Tanroads ni chache sana ziko wazi kwa kila anayeshiriki. Huwa wanagawana wao wenyewe na wana makampuni wanayofanyia kazi hizo
 
Pesa zipi hizo mjomba, katika thamani ya daraja hela yako ya pipi kifua tu hainunui hata bulb moja ya chini mle acha kujitia wendawazimu! Atleast kodi za Bhakresa na Late Zakaria zinaweza kuwa zimefanikisha % kubwa ya daraja!
Akili za MaCCM azina akili. Bure kabisa nyie legacy ya Mwendawazimu.

Kodi ya Bhakresa nipesa yangu mimi mlaji.
Makodi ya mitandao ya simu ni pesa yangu mimi mtumiaji.
Makodi kandamizi kila uchao ili kulipa madeni ya mikopo ya serikali ya CCM ”DENI la TAIFA” ni kodi yangu.

Teuzi zinazokufanya uwe MAJUNUNI ni kodi yangu ndio mshahara wako.

Upo upo tu kama umekatwa kichwa, Pumbavu kabisa kabisa.
 
Covid ya tatu hiyo

Jamaa alikuwa mwizi sana na anajua ufisadi wote waliofanya na jiwe kwenye miradi..

Aende kunakostahili.
Kila nikiiangalia hii barabara iliyojengwa kuanzia Mwenge kwenda Tegeta inayopitia Lugalo Jeshini ilivyoharibika haraka halafu kuna Mhandisi Mmoja aliniambia kuwa upana wake na ujazo wake ulipunguzwa Kinyume na ilivyotakiwa nalazimika tu Kibinadamu kutoa Pole Kwake ila ninaitoa kwa Shingo upande mno.

Kutokea tarehe 17 Machi, 2021 hadi jana tarehe 29 Juni, 2021 Israeli anaupiga mwingi mno kiasi kwamba hata akiomba Mchango wa Kumuongezea 'Morale' aendelee Kuupiga mwingi na kwa sasa ajikite pale Bungeni kisha Wizara ya Viwanda na Biashara halafu amalizie na Jengo jirani na Kanisa la St. Peters Oysterbay tutamtolea tu kwani anajitahidi sana.
 
Unaongea as if wewe utaishi milele duniani,binadamu wa kibongo laana tupu...
 
Atakuwa ameondoka na hii phase 3, watanzania tujifunze kustaafu umri ukisogea, toka 77 upo kazini kweli jamani hakuna watanzania wengine? angekuwa ametulia na wajuu haya yasingetokea labda
Kuna Ndugu yake Maxecence Yuko pale [emoji3575][emoji3575][emoji3575][emoji3575][emoji3575] na yeye ni mwendo wa bundle tuuuu,
Hata kushtuka hashtuki,Pamoja na Mwendazake kuondoka yeye wala hana habariii [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Ulafi wa madaraka huku wanataka wenzao wajiajiri lakini wao hawataki
 
Kweli ujinga mzigo. Kwani nao kama ilivyo kwa kuni umejitwika kichwani.

Post yangu ipi wapi kiliniuma mimi daraja lipi kuitwa Mfugale? Mimi siijui si uiweke hapa kama unaijua?

Huna hoja wewe. Uzi huu ni wa tanzia. Usiugeuza kuwa wa kutafutiana visa bila sababu. I rest my case.

RIP mhandisi.

Yes uzi ni wa Tanzia,ulipaswa uheshimu hili tangu mwanzo,jifunzeni kutumia vizuri mitandao hata kama mko na fake ID,sasa twaweza endelea na Mada ya Tanzia,uache makasiriko na Marehemu bila sababu za msingi.

RIP Eng.Mfugale,hakika tutaendelea kukumbuka kwa kazi tukuka uliyoifanyia Nchi yako.
 
Shhhhhhh kelele! Tuko msibani hapa.

Acha mwendazake apumzike.
 
Halafu kuna mijitu michawi, mishetani hapa inashadadia kufa kwake. Sasa tutamwoba Mungu ili wale wanaoshabikia vifo vya binadamu wakati hata Mungu hafurahii kufakwao, Yeye awaonyeshe kwamba shetani wanayemwabudu hana nguvu kuliko aliyewaumba.
AMEN! Wanaofanya hivyo wanafuata mkumbo, tuwasamehe bure
 
Back
Top Bottom