ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Sio wengi ni wapuuzi, machawa, wachache wanaotetea matumbo yao. Ila wanapiga kelele sana.Watanzania wengi tumekuwa waimba pambio za watawala, unaimba sauti ya ngapi Mkuu?
Hapana, ni Wacongolese.Watutsi waishio DRC ni WanyaRwanda?
Hao wote hawapaswi kuipora DRC, bali wailinde DRC dhidi ya uporaji wa ManguruweHao walioitetea DRC dhidi ya Kagame na "Manguruwe" kutoiba Dhahabu ni Angola, Zimbabwe, Namibia etc.
Ila kama ulikua hufahamu Zimbabwe na Angola zilipora Mali nyingi vitani kuliko hata Rwanda au "Manguruwe" so ni Yale Yale tu.
Ndio maana nikasema, at the very least wajisalimishe, DRC na Kenya wameshaanza kazi na inaendelea vizuri, watulie tu wanyooshwe!!!Kwenye political solutions hakunaga hayo mambo ya Sheria. Odinga aliapa kuwa Rais alinyongwa kama Sheria inavyotaka?? Vipi Besigye alivyojiapisha kuwa Rais alinyongwa? Political solutions haziangalii Sheria inasemaje maana hapo ukimnyonga mmoja tu ndio umemwaga mafuta kwenye moto wa gesi!!!
Sasa iwaje apigane vita kwa kisingizio cha kuwatetea Congolese huku akiua tena Congolese wengine?Hapana, ni Wacongolese.
Kwa sasa hivi hapigani Vita Kongo ila ni Congolese civil war M23 ni Congolese rebel movement.Sasa iwaje apigane vita kwa kisingizio cha kuwatetea Congolese huku akiua tena Congolese wengine?
Ulibonga sana alivomtishia Kikwete. Sasa zamu yenu
Alikuwa anawahimiza machawa wake huku wengine akiwaambia hatuleti misaada.Hivi unawezaje kutawala huku ukipendelea upande fulani?sijui aliwazaje huu ujinga!Magufuli (rip) aliyekuwa anatuhimiza kufanya kazi kwa bidii hayupo, sasa kwa nini tusishinde mitandaoni? Enzi za kuuza ngada na kujikusanyia mipesa na kushinda vijiweni zimerudi, wewe unataka tuwe bize na nini tena?
Mabeberu ndio kina nani hao?Hali yake ni mbaya sana tangu Sir Ruto kuingia imekuwa pigo kwake alijaribu kumtumia mtoto wa museveni kuchonganisha ikabuma,ni kati ya marais wapumbavu EAC anayetumika na mabeberu bila kificho
Eti maneno mengi. Maneno mengi ni mangapi. Kwani ni uongo sio ka nchi kadogo. Tufanye kitu gani wakati na yeye aliongea tu hakufanya kitu.Tatizo nyie maneno mengi, enzi hizo nilikua nawaambia muache maneno mengi kusema sema kainchi kadogo, aidha ufanye kitu au uufyate, hivi unafahamu umafia wa rais Ruto, pamoja na kwamba simpendi na sikumpigia kura lakini nafahamu ni mafia ambaye Kagame hatathubutu ujinga mbele yake.
Eti maneno mengi. Maneno mengi ni mangapi. Kwani ni uongo sio ka nchi kadogo. Tufanye kitu gani wakati na yeye aliongea tu hakufanya kitu.
Unakuwaga na blah blah mob.
Aya amewatolea maneno kwa kiswahili kabisa. Do something
Acha uongo nan alimgomea?Sio kweli bashungwa kama kisu kisicho na makali kuchinjia ng’ombe
Je unajuwa yule mama alipopewa uwaziri wq ulinzi kuna wakuu wa jeshi walimgomea.
Sasa ukienda thread ya Russia vs Ukraine huko si ndio utasema JF imejaa warusi na wairan 🤣🤣🤣Nimegundua humu ndani wanyarwanda ni wengi mnooo akina MALCOM LUMUMBA zitto junior imhotep and the likes halaf wengi wao ni CHADEMA wenzangu.
Ndio maana ccm wanatupiga pini daily wanajua fika hiz mbwa koko zikiingia tu whitehouse nchi ishauzwa
Mimi sio Mnyarwanda Asili ya.ngu Katesh.Nimegundua humu ndani wanyarwanda ni wengi mnooo akina MALCOM LUMUMBA zitto junior imhotep and the likes halaf wengi wao ni CHADEMA wenzangu.
Ndio maana ccm wanatupiga pini daily wanajua fika hiz mbwa koko zikiingia tu whitehouse nchi ishauzwa
Wezi wa mifugo tu wamewanyoosha Kapedo ndio mtaweza real army? 🤣🤣🤣. Kenya hawezi kuwa military advisor kwa Tanzania!!! Kupita tu njia ya north rift roho Iko mkononi!!! Hapo sijaongelea kukatiza Mandera!!Mjifunze kuwa "big/top dog" kwenye ugomvi, mbwa mkubwa huwa hahangaiki kujibu ubwekaji wa kambwa kadogo, anapita taratibu akienda zake. Nyie watu milioni 60 mnapiga makelele kujibizana na kainchi ka watu milioni sijui moja.
Ilipaswa mtafute mbunge muongeaji wa hovyo tena wa jimbo la middle of nowhere Katavi huko ndio ajibizane na Kagame...sio rais.
Kwanini wakipigwa wanakimbilia Rwanda na kupewa hifadhi mara kwa mara badala ya kukamatwa?Kwa sasa hivi hapigani Vita Kongo ila ni Congolese civil war M23 ni Congolese rebel movement.
Wezi wa mifugo tu wamewanyoosha Kapedo ndio mtaweza real army? 🤣🤣🤣. Kenya hawezi kuwa military advisor kwa Tanzania!!! Kupita tu njia ya north rift roho Iko mkononi!!! Hapo sijaongelea kukatiza Mandera!!
Mna tatizo la usalama hapo Nairobi mpaka Gavana analia lia kwenye camera. Embu malizeni matatizo yenu kabla ya kushauri nchi stable kiusalama kama Tanzania.