Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Hahahhaha hiyo ni ambush mkuu Tena kwenye foreign land it's understandable. Ila nyie mko kwenu kwenye familiar ground alafu mnatandikwa ni aibu kwa kweli, imagine mpaka Nairobi kabisa mnakaangwa na magaidi!!

Mna jeshi dhaifu sana huo ndio ukweli hata kuweka usalama Samburu tu hamuwezi ndio sembuse Goma?? Narudia mnachokitafuta mtakipata
 

Ndio taswira ya vita nje ya nchi, unapambana na watu wasiokua na huruma, ila mpambano wa ndani lazima uwe makini kuepuka kufanya genocide kwa watu wako.
 
Ndio taswira ya vita nje ya nchi, unapambana na watu wasiokua na huruma, ila mpambano wa ndani lazima uwe makini kuepuka kufanya genocide kwa watu wako.
Sasa kivipi Tena Jeshi lenu likaua GSUs/Recce squad or whatever you call them? Kama mlikua tayari kuuana wenyewe badala ya magaidi Nini kiwashinde kuua wezi wa mifugo na wanajulikana?

Nchi yenu Ina ufisadi mwingi mbaya zaidi mmechagua Rais Fisadi don't expect mtaweza kushinda lolote serious kwenye uwanja wa vita. In fact a divided nation kama yenu hata PK akitaka kuinflitrate hatumii nguvu!!

Hapo Bado njaaa hata chakula hamna sembuse mpigane si ndio mtakufa kama nzige!!! Hizi mambo achieni big boys UG na TZ but Kenya is a non-starter.
 
Jamaa anajiamini na kanchi kake kadogo,nani anampa kiburi? Asubiri kichapo cha Amin wa Uganda.
 

Sijajua jeshi lipi liliua GSU au kipi hicho unapambania, ila elimu yangu iko pale kwamba mpambano wa baina ya nchi ni tofauti, jifunze na kinachowakuta Warusi kule Ukraine.
 
napata shida sana kuacha kurudia hiki ulichoandika huo ndio ukweli vijana wametengenezewa mahitaji na wao wakakubali kuwa maisha ni leo na wasiwaze kesho tusipokuwa makini wengi hawatafika 60 na baada ya hapo kitakuwepo kizazi kisicho na akili kitakachotawaliwa kirahisi.
watawala wanafikiri kuwa na watu wajinga ni faida na mtaji wa maana kwao hawaelewi mwisho wa siku nao ni wajinga na tutatawaliwa wote.
 
Silaha kubwa ya Tanzania juu ya majirani ni umoja, hatuna ukabila, udini, tunazungumza lugha moja(swahili), jirani zetu wana chokochoko za kikabila, siasa, kiuongozi, hii ni silaha ambayo Rwanda, Kenya, wala Uganda hawana.
 
Magufuli (rip) aliyekuwa anatuhimiza kufanya kazi kwa bidii hayupo, sasa kwa nini tusishinde mitandaoni? Enzi za kuuza ngada na kujikusanyia mipesa na kushinda vijiweni zimerudi, wewe unataka tuwe bize na nini tena?
Sasa na wewe kwanini usitumie fursa unayodai ya kujikisanyia pesa mitaani kama ni rahisi hivyo.
 
Magufuli (rip) aliyekuwa anatuhimiza kufanya kazi kwa bidii hayupo, sasa kwa nini tusishinde mitandaoni? Enzi za kuuza ngada na kujikusanyia mipesa na kushinda vijiweni zimerudi, wewe unataka tuwe bize na nini tena?
Unategemea Magufuli akuhimize kufanya kazi wakati akili unazo mwenyewe.

Kwamba Magufuli asipokusisitiza kufanya kazi wewe huwezi kufanya kazi?

Mbona sisi tunaendelea kufanya kazi miaka yote tangu tuanze kujitegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…