Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Kwasababu wao ni Victims wa Bantu aggression.
Muasi ni muasi tu, hata sisi tukianza uasi kwa sababu seriakali inakopa matrilioni na kuyapelea Zenji ilihali madeni tunalipa Tanganyika, hiyo bado haituondolei title ya waasi, na tutashughulikiwa accordingly, kitaifa na hata kimataifa.
 
Mkuu kumbe hata Iddi amini dada, Gaddafi, Saddam hussen, president abacha, na president Mabutu seseseko kumbe walikuwa na majeshi makubwa pia, au maana waliondolewa kwa aibu kubwa sana.
Mobutu alivamiwa na nchi nyingi so alizidiwa, same to Gadaffi na Hussein walipambana na NATO/US so hauwezi expect washindw vita.

Hapo labda Idd Amin ndio dikteta pekee aliyenyooshwa ilihali ana jeshi imara. Lakini Kagame is slightly better than Amin maana yupo more organized kuanzia kidiplomasia, kijeshi na kiuchumi so anaweza sustain vita za muda mrefu kama.tulivuoshudia 1996-2003
 
KAGAME NI TISHIO KWA UKANDA HUU AONDOLEWE HARAKA, ATAKUJA KUWA NA ATHARI KUBWA ZAIDI PALE ATAKAPOKUJA KUMILIKI SILAHA ZA MAANGAMIZI ZA NYUKLIA ZA MASAFA MAREFU, NADHANI HILI LIPO KICHWANI MWAKE,SOON ANAWEZA ANZA SHOW GAME ZA SILAHA ZA NYUKLIA.,AKICHELEWESHWA.
 
Muasi ni muasi tu, hata sisi tukianza uasi kwa sababu seriakali inakopa matrilioni na kuyapelea Zenji ilihali madeni tunalipa Tanganyika, hiyo bado haituondolei title ya waasi, na tutashughulikiwa accordingly, kitaifa na hata kimataifa.
Mlipoambiwa serikali tatu au muungani wa mkataba si mlitukana na mkadai bila muungano zenji itakua ya kigaidi!! Ila Leo ndio mnagundua makosa when it's too late!!

Anyway political solutions haziangalii Sheria zinasemaje, ndio maana nmekwambia Hata Odinga au Besigye wakijiapisha kuwa Rais hawakunyongwa ilihali ilikua uhaini!!!

That's what political solution is all about. Kusema eti maadam ni muasi lazima ushughulikiwe nadhani hata sisi tusingepata uhuru maana Nyerere angeshanyongwa zamani sana miaka ya 50 huko!!
 

Aje atusaidie kuwang'oa CCM na tutampa ushirikiano, kama waganda walivyotupa kwenye vita ya Uganda ili kumng'oa amini.
 
Mimi sio Mnyarwanda Asili ya.ngu Katesh.

Na Chadema nimeipenda mwenyewe well..let me ne honest ni baada ya Sumaye kuhamia Chadema nikamfuata😁
Kwahiyo ulisharud ccm na Sumaye?
 
Uasi ni uasi tu, hakuna namna wala jina lingine, serikali iliyopo madarakani iheshimiwe, vinginevyo dunia nzima itakuwa ni umwagaji damu
 

Umesema kitu cha kweli kabisa. Ndani ya hili jeshi letu unaweza kukuta uozo wa hali ya juu, na vile taarifa zake haziwi public, tusithubutu kujichanganya kwa Kagame. Nakumbuka milipuko ya mabomu yaliyoisha muda wake ya gongo la Mboto. Ule ni ushahidi wa wazi wa uozo uliopo huko jeshini. Ikitokea vita itakuwa aibu. Kama tu kwenye taasisi za kawaida kuna uozo wa wazi, huko jeshini kwenye siri si ndio majanga kabisa.
 
Anaweza kununua N. K, za kujihami time will tell.
Achana na Atomic, Jamaa yangu amestockpile Silaha za aina mbalimbali za kujihami kwa miaka ishirini na ushee, Rwanda itakuwa na Amani na Ng'ombe zitatoa Maziwa ya kutosha.
 
Mkuu, kuna tofauti kubwa kati yetu, pamoja na wewe kudhani kwamba tunakaribiana.

Mifano ya tofauti kati yetu:
1. Wewe unadhani Kenya katupiku kwa kujihusisha na usanii anaofanya DRC, mimi nasema hatuwezi kufanya usanii kama huo. Sisi kwa uzoefu wetu ni watu 'serious' katika maswala ya aina hiyo. Inaelekea huelewi kinachofanywa na hao Kenya huko na sababu kuu zinazowafanya warukeruke kiasi kile. Sisi hatuhitaji kuiga mfano huo mbaya.

2. Unabeza "kuangalia Jiografia"? Kwa fikra zako unadhani Mashariki ya Kongo milele itakuwa kama ilivyo leo? Kwanza unajichanganya mwenyewe. Mara unaona Kenya, Rwanda, Uganda wakikosa usingizi kupigania maslahi eneo hilo, halafu kwetu unadhani ni eneo lisilokuwa na faida?
 
Hu
Humjui Paulo mtu mrefu ,unamsikia tu ,lile jitu lina akili sana na uzoefu kwenye nyanja ya espionage na ni katili kupita maelezo wakianza kuhesabu roho zilizopotezwa na hilo dude , unaweza zimia ,Paulo Mtu mrefu kapiga misheni za hatari mpaka jamhuri ya kati na ana vikosi mpaka leo ,kapiga mishe za espionage mpaka Bukima faso kule west Africa tena kitambo anafanya mishe hizo na hata mauaji ya Thomas Sankara yaliinvolve spies na hitmen wake .Yule Blaize Campaore kule Bukina Faso aliyefanya yale mapinduzi alikuwa na back up ya Kagame kwa kiasi kikubwa .
 
Undugu wetu Tanzania na DRC uko based kwa Wamanyema ambao ndio tumezaana nao sana na waliingia Nchi hii kabla ya kuitwa German Eastafrika 1840 huko.

Lakini leo Mmanyema akienda Uhamiaji au NIDA kutafuta "Vyarazima" anakutana na Scrutniy ya ajabu na pengine kufukuzwa kwa hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…