Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

'Drunk' Congo soldiers run amok killing 15

Source:AFP

Sasa hebu niwaulize wale wenye nia nzuri ya kutafuta Amani ya kudumu Mashariki ya DRC hili Jeshi litaweza kulinda mipaka ya DRC ili Vikundi vya Waasi wa Kihutu visiweze kutumia Ardhi ya DRC au sisi Watanzania tushirikiane na Rwanda na Uganda tulisuke upya Jeshi la DRC kwa masharti ya M23 kuwa katika Jeshi hilo la DRC.
 
Naanza kuwahurumia wakongo, kumbe rais wa Uganda Mtutsi, rais wa Rwanda Mtutsi, Waziri wa ulinzi Tanzania Mtutsi, M 23 ni watutsi wanaopigania maslahi ya kabila lao ndani ya Kongo, tegemeo pekee kwa wakongo katika Africa mashariki ni Ruto, poleni sana
 
Hata mimi imhotep nimesemwa semwa kuwa ni Mtutsi wa JF.
 
Mkuu huo ndo utajiri wa congo upo chini ya ardhi yao
 
Nyie Warundi/Warwanda huwa mwatuonaje?
Una Imani na kitu chochote chini ya CCM? Ukute hata Hela za mafuta ya ndege zimeshaliwa kitambo!! Jiulize ajali kama ya precision jeshi lilikua wapi? What if it was a terrorist attack/hijack mpaka wanafika si wangekuta wote wamepigwa risasi?

Anyway although hatupo level zetu za enzi zile ila majirani zetu Kenya ni wabovu zaidi so that makes us the best over the rest.
 
Watutsi wamepachikwa picha mbaya ila nna uhakika sana sio watusi wote wako na tabia kama za kina kagame na Museveni.

Kinachomsumbua kagame ni limited resources na uzalendo kwa watu wa asili yake.

Kingine kinachowasumbua watusi hasa wa rwanda ni ugumu wa mioyo yao kuachilia na roho ya visasi inayowaandama na hii iko kwenye DNA ila tukumbuke mazingira yanabadilisha genotype za watu so wanaweza kubadilika lakini ni mpaka wakubali kuachilia.

Hili swala la wao kujiona superior nahisi limechangiwa sana na wakoloni lakini pia ni mifumo yao ya uongozi wa ukabaila na unyarubanja ambapo wao walikuwa machifu. Ila ni kitu kinaweza kubadilishwa, ikumbukwe tena ni watu wa kushikilia sana so bado wana hiyo mitazamo ya kuwa wao ni superior lakini hiyo kitu imeisha katika dunia ya sasa.

when you are solving complex problem you need to develop a complex model of equations, and assumption must be minimized in order to obtain exact results.

NARUDIA TENA MZOZO WA UKOSEFU WA AMANI YA MAZIWA MAKUU NI MKUBWA ZAIDI YA WATU WATU WANAVYOUTAZAMA.


Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Siwaamini kwa lolote ila kijeshi sidhani kama yatakuwa kama ya Urusi, vifaru kukosa mafuta au barrel kutofanya kazi
 
Ok
 
Kwahiyo ukitishwa unaogopa? Nawe toa tamko
 
Aipindue mara ngapi ? ,unaongelea Congo hii au Congo ya Mars ? ,Congo hii ambayo kaifanya kama chooni kwake ? , he shit in it anyway and anyhow he want , hujui kwamba Yule commander , tena the best and trusted military commander of all time na tegemeo wa Paulo Kagame ,Yule Kabarebe aliwahi kuwa mkuu wa jeshi la Congo ? ,Au Hilo nalo mpaka uambiwe ?,yule Joseph Kabila junior ni kibaraka wa Kagame mpaka leo hii sasa angekpindua ili iweje ,kipindi cha kabila we uliwahi ona misuguano kati Kagame na Kabila junior ? .
Museveni hakuwa mjinga kulipeleka lile lijamaa military college kule Marekani aliona brain capacity yake
 
Tatu, Rwanda na Uganda walivamia Drc na kukalia eneo kubwa la nchi hiyo. Kwanini hawakushughulika na waasi wa Fdlr?
Walishugulika nao Sana tu, ndio maana kwa Sasa sio kitisho kikubwa Sana....ila kuwamaliza imekuwa vigumu sababu wengi wao wameshajichanganya na wenyeji au wanashirikiana na waasi kama maimai ambao ni wenyeji wa huko..
 
Jinsi ya kupambana na Paul Kagame ni kuadvance kwenye nyanja ya espionage na intelligence ,jeshi kama la Tanzania hili linalokomalia kuonyesha makomando wapasua matofali kwa vichwa , jeshini mnajaza wapumbavu tu kisa ni ndugu na watoto wa Makada ,jeshi hali adapt modern warfare tactics ,weapons NK ,jeshi ambalo haliupdate ,mmekalia kujifariji ujinga na military tactics za enzi za Idd Amin , kazi tunayo .
Ulimwengu uko mbali sana kwa sasa ,jeshi linahitaji brains si watu wenye miili mikubwa kama wabeba magunia wa pale mwanjelwa sokoni .
 
Mkuu first and second congo war aliyekuwa anamfadhili kagame ni USA , under Bill Clinton, nimekuwekea kitabu hapo juu fuatilia mkuu.
Kama utafuatalia sana umekuja kuja hata Rwandan genocide USA na UN walihusika sana. Coz walikuwa wanajua kuwa kutatokea genocide rwanda.
Badala yake wakapeleka Peace keeper , lakini cha ajabu hawakuzuia genocide wakawa wanarecodi mini kinachotokea na kupeleka TAARIFA UN, iliitwa UN cable .
Hata RPA pale rwanda alikuwa msaada sana, kwa KAWAIDA sio raisi vikundi cha uasi kuwa na uwezo wa KUipindua serikali pesa ya vita wanatoa wapi mkuu.
Hata wanasheria wa ICTR wanajua kwamba pale rwanda PK alisaidia kuiondoa serikali ya kihutu,
Mwanasheria wa ICTR peter erlinder
Kaandika kitabu kutafuta
 
Mkuu hapo kwa kusema kawaunganisha warwanda mbona unatupanga ๐Ÿ˜€,pk hamna alipofeli hapo rwanda kama ukabila na udikteta,population ya rwanda tutsi awafiki hata 30% lakini most ya idara za kiserikali na kiraia zinaendeshwa na tutsi
 
Mimi sio Mnyarwanda Asili ya.ngu Katesh.

Na Chadema nimeipenda mwenyewe well..let me be honest ni baada ya Sumaye kuhamia Chadema nikamfuata๐Ÿ˜
Teh teh teh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huu uzi una vituko kweli kweli..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wacongo wenyewe walifanya uchunguzi wakajua bill Clinton alikuwa nyuma ya show.
Na MUSEVENI HAKUMPELEKA KAGAME USA KUPATA MAFUNZO
NIBUSA WENYEWE WALIMCHUKUA WAKUU.

KULIKUWA NA CHIEF PROSECUTOR WA ICTR ANAITWA CARA DE POTE ALIFUKUZWA KAZI KWA SABABU ALIKUWA ANATAKA KUSTAKI KAGAME JUU COZ WALISEMA YEYE NDO MUHUSIKA MKUU WA GENOCIDE AGAINST TUSTI KWA KUCHUKUA UHAMUZI WA KUMUUA JEVENALI. LAKINI USA WALIMFUKUZA KAZI YELE MAMA.
WAKAMLETA MWINGINE AKASITISHA HILO ZOEZI LA KIMSHITAKI KAGAME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ