Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Tuko busy na uchaguzi 2025.

Huko barabarani tuko busy na maving'ora 24/7 maspeed na kuweka mafoleni, sijui huwa tunawahi wapi na tunawahi nini maana yale ya msingi tunayopaswa kuyafanya hatuyafanyi..

Ruto anapambana kuongeza idadi ya diaspora wakenya duniani, wakati huo anaendeleza utaratibu wa kuzalisha skilled and intelligent workforce ya kenya ili itapakae kila kona duniani..

Tupo busy kubrainwash vijana na kuendelea kuwa chawa wa viongozi, tuko busy kuendelea kuongeza workforce pumbavu inayowaza siasa, tuko busy kufanya vijana wawe tegemezi wa baba zao wezi waliokwenye system.. We paralysized kila mahala na maadui wetu wanafuatilia nyendo zetu kila siku ili siku ikifika watuslave.
 
Please weka hii nondo kwenye uzi .ume match thoughts zangu
 
Labda hizo methods apate kwa mabwana zake huko USA na Ulaya na njia kubwa wanayoweza kutumia Ni kuratibu mapinduzi au sumu kwa Viongozi na sio kwenda front hiyo jeuri hawana.
Huo ndio ukweli Hana uwezo wa kuja Frontline face to face

Labda kwa kutuma spies wake waue mafichoni.

Kama. Anaona anaweza "afanye kama anajikuna tuone*"
 
Rais Paul Kagame alikuwa anaapisha mawaziri wapya hapo jana mapema. Alianza kutoa hotuba yake kwa lugha ya Kinyarwanda, lakini baadae akahamia kwenye lugha ya Kiingereza na baadaye akatoa kitisho kizito kwa lugha ya Kiswahili. Wengi wetu tumeona hicho kipande chenye lugha ya kiswahili kikisambaa huko mitandaoni hasahasa kwa raia wa Tanzania na Kenya. Kitendo cha kusambaa mtandaoni kwa kasi hivi, inaonesha kabisa walengwa wa ujumbe ni watu gani.

Kwenye FASIHI njia moja kuu ya kufikishia ujumbe ni kuifahamu HADHIRA, lakini kubwa zaidi ni kufahamu lugha ambayo HADHIRA hutumia. Siku zote kimetumika Kinyarwanda na Kiingereza, lakini leo hii na Kiswahili juu, tena sehemu ambayo anatoa vitisho. Kwenye Dakika ya 27, ameanza kuwaliza mawaziri wake kama wanafahamu lugha ya kiswahili, wakamjibu wanelewa, ndipo akaanza kuzungumza kiswahili.

Huu ujumbe siyo wa wanyarwanda, wazungumzaji wakubwa wa lugha ya kiswahili wanafahamika, hivyo hicho kitisho ni ujumbe kwenu. Hajataja mhusika, mimi binafsi sitamtaja, lakini naamini walengwa mapema leo, watakuwa washafikiwa na huu ujumbe.

Alichokisema Rais Paul Kagame ni kwamba ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi. Kwamba Rwanda doesn't have the means, but they have the methods (ways). Hivyo kijiografia Rwanda ni nchi ndogo isiyo na rasilimali nyingi, lakini wao siyo migomba mifupi kama wanavyofikiriwa. Binafsi naamini, haivuki miaka miwili (2) kuna mtu kwenye huu ukanda wetu wa maziwa makuu atatoa kilio kikubwa sana.
Hakika alifikisha ujumbe kwa wauzika was kiswahili na ka inch fln kilichopeleka wanajeshi wake kwa kukurupuka ngoja tuone
 
Kasahau kuwa J............k Bado yupo
 
Hali yake ni mbaya sana tangu Sir Ruto kuingia imekuwa pigo kwake alijaribu kumtumia mtoto wa museveni kuchonganisha ikabuma,ni kati ya marais wapumbavu EAC anayetumika na mabeberu bila kificho
Sas kosa kubwa waliliolifanya congo Ni kuruhusu uganda Kama moja wa wana operation Ni kosa San kitakacho watokeaa jeshi la waKenya mtaonaa

Ni full uzaliti
 
Magufuli (rip) aliyekuwa anatuhimiza kufanya kazi kwa bidii hayupo, sasa kwa nini tusishinde mitandaoni? Enzi za kuuza ngada na kujikusanyia mipesa na kushinda vijiweni zimerudi, wewe unataka tuwe bize na nini tena?
Kalaga baho, zama hizi kila kitu kinapanda bei bado hamhamasiki kufanya kazi tu, kalaga baho
 
Back
Top Bottom