Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Nchi maskini hizi kila siku mawazo yao ni kupinduana na kuuana bila sababu, Kenya na Tz ni tatizo kwa Kagame, P
 
Hovyoo and useless speech
 
Naona hauelewi vita za proxy, Kagame hahitaji kwenda Kenya ila obviously Uganda ni koloni la Watutsi so in any war itakua via Uganda.

2. Kingine Kenya Ina vikundi kibao vya uasi sio tu NFD region kwa wasomali na wafugaji ila hata makundi ya msimamo mkali wa kiislamu wa kujitenga huko Pwani. Kagame anaweza fanya kazi na hao watu na ikapigwa vita ya proxy kama tu ilivyokua Ile ya M23..

3. Ukabila ni mkubwa sana Kenya kiasi kwamba wafuasi wa Upinzani yaani Wakamba, waluo, Waluhya, Pwani n.k wakiskia tu jeshi la Kenya limeingia vitani basi watakua wa kwanza kwenda barabarani kupinga nchi kuingia vitani na watakataza wafuasi wao kwenda Frontline. In fact wataona ni short cut ya kumpindua Ruto asubuhi na mapema.

4. Kuhusu uimara wa jeshi yes it's true linatengenezwa ila experience matters. Nchi zilizopo kwenye Kashi Kashi za kivita zinakua hazina margin of error so muda wote majeshi Yako busy. Mfano Rwanda ana majeshi kwenye nchi zaidi ya 13 yote hiyo ni kuwapa exposure na activeness kwenye battlefield. Sasa unadhani akikutana na wanajeshi wavaa ndala wa Westgate Nini kitatokea?? Rwanda fought in the Africa's world war, the audacity to take head-on 13 African countries in a stalemate war for 5 years should be a lesson to Ruto, unless he's dumb enough to disregard history!!
 
Nilishasema tokea mwanzo, hao M23 wakikimbilia Rwanda basi wafuatwe huko huko! Kama Iddi Amini alivyofanyiwa
‘The proof is in the pudding’, kwenye speech yake yote sikiliza dakika tano za mwisho. Kenya inaonekana katoa kichapo balaa jamaa wapo mpakani.

Kilichobaki kelele nyingi ohoo sijui yeye pia alitaka kusaidia akazauiwa na kujitetea kwingi (all the while he refers to rebels as FDLR), ila sasa hivi kuna Shells zimeanza kuangukia Rwanda, huo sasa anadai uchokozi.
 
hovyooo
 
Hivi karibuni tumejitimu PhD kwa hiyo tutaitumia kutatua chanhamoto, yaani vyuo vyetu navyo vimekua chawa na kupe
 
Hawa wajinga toka walipochinjana kama kuku wenyewe kwa wenyewe huwa nawaona hamnazo.
Atulize kipago atanyukwa na vita tunapigania ardhini. Tunakaa Rusumo tuu hapo tunamlamba tako asubuhi mapema. Achezee huko huko anakoiba madini.
 

Usikae hapo utegemee migawanyiko ya ndani, ni jambo la kawaida kwenye kila taifa, hata nyie hapo kunao naona mnashangilia na kushabikia sana ndege kukamatwa, japo sijaelewa ni uzalendo wa aina gani huo, ila likija suala la malumbano ya taifa dhidi ya taifa usithubutu.
Jifunzue na Ukraine ambao wana malumbano yao ya ndani, lakini wamemfanyia Urusi kitu ataishi akikumbuka kizazi baada ya kizazi.
 
Hawana akili hawa watu waliochinjana wenyewe kwa wenyewe kama kuku back in the days!
 
Kenya wamefika wanapeleka vikosi tu! Seems intelligence yao haikufanya kazi nzuri kupima urefu wa kina. Alafu ukiona TZ wapo kimya bize na mambo mengine ujue mtego huo. Ngoja tuone majirani watafanya lakini yumkini wameuvagaa mtego tena wakitegemea experience ya Uganda [emoji1787][emoji1787]
 

Nikiri sijasoma comments za watu wote ! Lakini huyu Kageme kwani silaha zake za vita zinaingizwa nchini kwake kupitia wapi ? Hivi anadhani hizo nchi zinampitishia silaha bila ku…. Pili nchi zote anazopakana nazo yumkini ana some sort of beef nazo kweli nchi hizo zimekaa tu kizembe ? Aache hiyo rhetoric ya vita ataangamiza wanyarwanda wenzake bure tuu ! Tchisekedi sio mpumbavu pia ! Majeshi ya [emoji1139] yako huko with fresh war experience from Somalia fighting Alshabab terrorists ajitafakari sana ! He can not intimidate the region for good without a counter response publicly or sectretly !

Vita mbaya!!!
 
Huu mgomba mfupi huwa siuelewi. Ukiulizwa kama ni binamu ya M23 unaruka viunzi vya kimataifa .M23 ikipelekewa moto mgomba huu mfupi unaanza kujifunza kutembea .hata JK alipopewapelea Moto mgomba huu uliukana ufupi ukasema akha mi mrefu .sasa we mgomba mbona una maajabu yasoisha. Tulia upigwe dawa ya mnyauko na mzee luto
 
Mama kamuweka BASHUNGWA wizara ya Ulinzi hakika atavuna alichokipanda kwa Mnyarwanda huyu

A war is not fought by politicians ! It the generals who does the ultimate job, so huyo Bashungwa as a minister ni tarishi tu kupeleka taarifa kwa Amiri Jeshi. God forbid this not to happen as we have enough problems to sort and a polical war to uproot CCM from power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…