Baada ya kuona wasio na akili wengi tu wamekuwa wabunge na wanashangiliwa sana bungeni, kaona anastahili pia.Hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa sana Paul Christian Makonda achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni.
Mbona mnamsakama sana huyu jamaa? Kwani ndie mkuu wa mkoa pekee aliyekazini kuchukua fomu?Hapa ndipo Jpm anapochemka. Mbele ya huyu jamaa anafyata mkia. Wakati RC wengine kawazuia wasigombee mfano Chalamila, au waachie madaraka lakini huyu jamaa na madaraka yake anagombea bila aibu kabisa na wasomi wapo ndani ya chama wanaangalia tu.
Sasa naamini hata kumtumbua yule naibu waziri wa afya Bw. ndungulile ambae pia ni mbunge wa kigamboni ilikuwa ni mchongo.
CCM wanaweza kufanya hivyo, imeshawahi kutokea awamu ya tatu ya mzee Ben. Kuna mama aliwahi kuteuliwa ivyo.Bila kujiuzulu Ukuu wa Mkoa?
Kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa pekee nchi nzima aliechukua fomu akiwa na madaraka yake yote ya Ukuu wa mkoa.
Na atapiga kampeni huku akiwa na Cheo Chake Cha Ukuu wa Mkoa kama Kawaida.
Kuna hatari Makonda akawa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Waziri kwa wati mmoja.
Na yule Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto aliyetumbuliwa hagombei!!?
Ngoja tumuite aje atuambie atapiga vp kampeni huku akiwa mkuu wa mkoa?Hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa sana Paul Christian Makonda achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni.
Na nguvu yote ilivyojaa hivyo halafu mtu mmoja alimbikiziwe vyeo itakuwa hatari.CCM wanaweza kufanya hivyo. Imeshawahi kutokea awamu ya tatu ya mzee Ben. Kuna mama aliwahi kuteuliwa ivyo.
Chalamila Mbeya[emoji848][emoji848][emoji848]Ole Sabaya [emoji41][emoji41][emoji41]
Mnajisumbua ! cdm na upinzani mweleka mtakaokula mwaka huu sio kidogoAlipima maji Ubungo kaona maji marefu kakimbilia Kigamboni tunamfata hukohuko
Ila Makonda na Mrisho Gambo wanatofauti gani, kwanini huyu atumbuliwe na yule asitumbuliwe