Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Hii kesi hakuna hukumu mpaka ijifie yenyewe uchaguzi ukianza.Mahakama zipi, hizi zenye kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka minne Sasa na ushahidi wote upo lakini hakuna hukumu? Ingekuwa ni mahakama za kimataifa kule ambako hazipewi maelekezo hapo sawa. Maana kwenye mahakama za kimataifa huko hata serekali huwa haitoboi maana hazipokei amri toka juu. Rejea kauli ya Rostam kuhusu mahakama zetu.
Wanafahamika Wala usione police hawafuatilii ukadhani ni bahati mbaya. Kila kitu kinafahamika maana lilikuwa ni tendo la kishamba sana. Hicho nilichokuleza ndio mchongo mzima ulipo. Anachofanya huyo muhalifu Makonda sasa, ni kutumia platform hii aliyoipata kujisafisha kwa kufanya siasa za maigizo akitarajia watu watasahau.Kweli ni rahisi sana, lakini ni kimaongezi zaidi kuliko kimatendo.
Ukweli mwingine ni tukio la kishamba sana na ujinga wa hali ya juu na aliyelipanga ni wazi hakudhamiria kuua na hajui kuua.
Naomba uhai niwepo siku ya kujulikana huyo planner na aliowatuma kumaliza kazi.
Kwa kosa gani?.Makonda tungekuwa na utawala bora angekuwa magereza kitambo sn
Hahahaaaa ile dhambi itawatafuna wahusika woote hadi dahaliMakonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Wanapinga huku wakikuonyesha kadi zao? Sasa umejuaje kuwa wanaompinga sio wale wanaccm wenye akili zao timamu?Sasa mbona tunamshambulia Makonda kuliko hao wenye mamlaka ya uteuzi?! Watu wanaotakiwa kuumia zaidi ni wanachama wa CCM, wajitokeze wapinge uteuzi wake.
Kwa kelele hizi kutoka kwa mahasimu wao kisiasa watajivuna uteuzi wao ni sahihi hata kama una madhara.
Sio mama zetu, ni mama wa alie hoji.Kwa kusema hivyo amewatuka** Wamama zetu wote. I am gender sensitive. Waache Wamama wana heshima zao.
Maswali ya mihemko kwa kuhitaji sifa.Huyu mwandishi mjinga sana tena sana. Na tena inatakiwa ashughulikiwe tujue ana cheti halali cha uandishi. Wewe Lisu mwenyewe alishasema Dkt Magufuli alituma watu wakamuue halafu tena wewe mwandishi unaenda kumuuliza mtu mwingine ni akili kweli??!
Kwa Kesi za Jinai, mwenye ushahidi anazuiliwa kuupeleka Polisi?
Ina maana wewe hujawahi kuhoji hata kimoyo moyo?Sio mama zetu, ni mama wa alie hoji.
Halafu huyu unadhani akihojiwa huku ametumbuliwa macho makavu atakatiza huyu? Mbwembwe tuu za ofisi za umma lakini hakuna ujasiri wowote.Kwa shambulio la kishamba vile haiwezi kuchukua zaidi ya siku Moja. Ni rahisi kabisa, wataanza na nani aliagiza askari waliokuwa wanalinda gate kuondoka. Kisha watataka kujua Makonda alikuwa wapi siku ya shambulio la Lisu. Mawasiliano yake na ya RPC wa Dodoma yatafuatiliwa, hapo mchezo utakuwa umeisha.
Uchawa ni laana.Makonda yupo sahihi kabisa. Huyo mwandishi anatakiwa kuadabishwa ili kukomesha waandishi wajinga
Kwangu no hili linamuhusu alie hoji.Ina maana wewe hujawahi kuhoji hata kimoyo moyo?
Usijitoe mkuu wengi sana tumejibiwa leo na huyu mtoto, tena kwa kejeli kabisa.
Hata mahakamani kabla ya hukumu lazima mahojiano.Sasa mnakwenda kuhoji nini wakati mna majibu?πππ
Kunyang'anya uhai wa watuKwa kosa gani?.
Ukihojiwa utoe ushahidi wa hizo damu unao?.Kunyang'anya uhai wa watu
Inapofikia hatua kwa mtu/watu walio hai kuweka lawama na visingizio vya kukwama kwao kwa Maiti ambayo mpaka sasa ni hakika imebaki mifupa, ni dhahiri mwisho wa kutenda na fikra umefikiwa.
Kwamba Rais wa JMT aliewatoa gerezani watuhumiwa wa Ugaidi na Uhujumu uchumi anakosa uwezo kimaamuzi wa kufungua upya jarada la uchunguzi wa tukio la jaribio la mauaji? Unayatambua Mamlaka yake na mipaka yake vizuri?
Unaikumbuka kauli ya Rais Samia wakati wa kampeni za 2020 kuhusu shambulio hilo? Kamsikilize tena, uenda ukaelewa.
Hao wapasha Habari wa Lissu walishindwa kabisa kumuokoa kwa kumpasha Habari ya kushambuliwa kwake kabla ya tukio?
Wewe unanihoji kama nani?Ukihojiwa utoe ushahidi wa hizo damu unao?.