Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Hii kesi hakuna hukumu mpaka ijifie yenyewe uchaguzi ukianza.Mahakama zipi, hizi zenye kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka minne Sasa na ushahidi wote upo lakini hakuna hukumu? Ingekuwa ni mahakama za kimataifa kule ambako hazipewi maelekezo hapo sawa. Maana kwenye mahakama za kimataifa huko hata serekali huwa haitoboi maana hazipokei amri toka juu. Rejea kauli ya Rostam kuhusu mahakama zetu.