Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Ndio jibu alilopaswa kupewa huyo muandishi! Kwa hiyo kama ni kweli huyo Muandishi alitegemea apate jibu la ndio kutoka kwa makonda!

Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..

Kwa vichaa kama wewe hatushangai
 
Mwandishi alitaka kumsafisha Makonda.

Hilo swali lilikuwa Muhimu sana kwa Makonda kwani jibu moja tu lingetosha kumsafisha na tuhuma mbaya kama hizo.

Ila sasa nafsi haikubali
 
Kinachoshindikana kupeleka kwenye Mahakama za Kimataifa ni nini?
 
Ahahahahaha! That's called Chadema rubbish!
 
Ahahahahahaha Makonda pitia Kwa Mzee Lymo pale Chavada kula K vant na eneji Moja! Ahahahahah dah!

Sijui mwandishi kajiskiaje mamamamamae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…