Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ulikuwa mtoto watu walikuwa wakifungua kesi zinafutwa? hakuna mahakama kuna matawi ya CCM pekeeMlishindwa nini kumpeleka mahakani baba yake alipokufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa mtoto watu walikuwa wakifungua kesi zinafutwa? hakuna mahakama kuna matawi ya CCM pekeeMlishindwa nini kumpeleka mahakani baba yake alipokufa
UmemalizaHawa Waandishi wengine Huwa wanajitafutia matatizo wenyewe.Ukiwa unasomea udreva unaambiwa Ukiona kuwa unaweza kuzuia ajari jitahidi uizuie hata kama wewe utakuwa upande sahihi.
HahahaaKipimo tukiona watu wanapotea, kupigwa risasi au kutekwa katika uongozi wake, tutajua ALIHUSIKA!
Maana story kama hizo tulizisahau.
Hehee imekufikiaMwaandika na kuhukumu huku yenu tu yanawashindwa kuhukumu.
Hilo gazeti lijiandae kupata misukosuko🤣🤣Mkuu kwa hiyo chadema ajenga itakuwa ni kupigwa risasi Lissu?😂😂😂
Daaah angejitetea kabisa kuwa sio Kweli hata kama sio majibu sahihi.Makonda atakimbia Majukwaani muda si mrefu , kawekewa chambo kameza ndoano , Kwisha habari yake
Ndio jibu alilopaswa kupewa huyo muandishi! Kwa hiyo kama ni kweli huyo Muandishi alitegemea apate jibu la ndio kutoka kwa makonda!
Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..
Mwandishi alitaka kumsafisha Makonda.Hilo swali lilikuwa la msingi Sana, hasa kwavile Makonda hakutegemea na ndio maana akahamaki, swali kama hilo kaulizwa P.Diddy juzi Kati kwamba je anahusika na kifo cha Tupac, Jamaa akahamaki kiasi kwamba watu wakaanza kutilia Shaka, Mwandishi apewe maua yake kwa uthubutu.
MtanzaniaWewe unanihoji kama nani?
Basi kajisaidie ulaleMtanzania
Acha udwanzi! Pelekeni mahakamaniUlikuwa mtoto watu walikuwa wakifungua kesi zinafutwa? hakuna mahakama kuna matawi ya CCM pekee
Kuna mwenzako ameniuliza hilo swali nami nikamuuliza hivi, "Je mtu akiwa na ushahidi wa Jinai haruhusiwi kuupeleka Polisi"? Natumia wewe utanijibu maana mwenzako hajanijibu.Kweli ww bado mtt wa shule.....unajua nani ndiye mwenye haki ya kushitaki ktk kesi ya jinai???
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya dingiAcha udwanzi! Pelekeni mahakamani
Mahakama iliyomfunga mkuu wa wilaya ya hao sabahi, makonda ni nani?
Kinachoshindikana kupeleka kwenye Mahakama za Kimataifa ni nini?Mahakama zipi, hizi zenye kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka minne Sasa na ushahidi wote upo lakini hakuna hukumu? Ingekuwa ni mahakama za kimataifa kule ambako hazipewi maelekezo hapo sawa. Maana kwenye mahakama za kimataifa huko hata serekali huwa haitoboi maana hazipokei amri toka juu. Rejea kauli ya Rostam kuhusu mahakama zetu.
Ahahahahaha! That's called Chadema rubbish!..kwenye post yako iliyopita ulishauri Lissu apeleke ushahidi mahakamani. Sasa naona umebadilika unashauri apeleke ushahidi Polisi.
..Polisi wakifungua uchunguzi wanaweza kuwaita watu wote wenye ushahidi na taarifa zinazoweza kuwanasa waliohusika.
..Lakini kwa mwenendo wa Polisi wetu kuhusu tukio lile nadhani njia nzuri ni Raisi kuunda TUME YA UCHUNGUZI ili iweze kufuatilia kilichotokea.
..Tume ninayopendekeza ni kama ile aliyounda Rais Kikwete iliyoongozwa na Jaji Kipenka kuchunguza tukio la wafanyabiashara wa madini waliouawa wakituhumiwa ni majambazi.
Lugha gani sasa imekukwaza? Mbona imenyooka kuliko ya Mwenezi wa CCM aliyemuambia mwandishi akamhoji 'Mama yako"Jifunze lugha sahihi ya kujadili kwenye hadhara kwanza.
Lugha gani sasa imekukwaza? Mbona imenyooka kuliko ya Mwenezi wa CCM aliyemuambia mwandishi akamhoji 'Mama yako"
Ahahahahaha! That's called Chadema rubbish!