Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Ndio jibu alilopaswa kupewa huyo muandishi! Kwa hiyo kama ni kweli huyo Muandishi alitegemea apate jibu la ndio kutoka kwa makonda!

Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..

Kwa vichaa kama wewe hatushangai
 
Hilo swali lilikuwa la msingi Sana, hasa kwavile Makonda hakutegemea na ndio maana akahamaki, swali kama hilo kaulizwa P.Diddy juzi Kati kwamba je anahusika na kifo cha Tupac, Jamaa akahamaki kiasi kwamba watu wakaanza kutilia Shaka, Mwandishi apewe maua yake kwa uthubutu.
Mwandishi alitaka kumsafisha Makonda.

Hilo swali lilikuwa Muhimu sana kwa Makonda kwani jibu moja tu lingetosha kumsafisha na tuhuma mbaya kama hizo.

Ila sasa nafsi haikubali
 
Mahakama zipi, hizi zenye kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka minne Sasa na ushahidi wote upo lakini hakuna hukumu? Ingekuwa ni mahakama za kimataifa kule ambako hazipewi maelekezo hapo sawa. Maana kwenye mahakama za kimataifa huko hata serekali huwa haitoboi maana hazipokei amri toka juu. Rejea kauli ya Rostam kuhusu mahakama zetu.
Kinachoshindikana kupeleka kwenye Mahakama za Kimataifa ni nini?
 
..kwenye post yako iliyopita ulishauri Lissu apeleke ushahidi mahakamani. Sasa naona umebadilika unashauri apeleke ushahidi Polisi.

..Polisi wakifungua uchunguzi wanaweza kuwaita watu wote wenye ushahidi na taarifa zinazoweza kuwanasa waliohusika.

..Lakini kwa mwenendo wa Polisi wetu kuhusu tukio lile nadhani njia nzuri ni Raisi kuunda TUME YA UCHUNGUZI ili iweze kufuatilia kilichotokea.

..Tume ninayopendekeza ni kama ile aliyounda Rais Kikwete iliyoongozwa na Jaji Kipenka kuchunguza tukio la wafanyabiashara wa madini waliouawa wakituhumiwa ni majambazi.
Ahahahahaha! That's called Chadema rubbish!
 
Ahahahahahaha Makonda pitia Kwa Mzee Lymo pale Chavada kula K vant na eneji Moja! Ahahahahah dah!

Sijui mwandishi kajiskiaje mamamamamae
 
Back
Top Bottom