Je kikwete na familia yake wangekuwa wapi tungekuwa na utawala bora (mama kahaba baba fisadi mtoto anauza ngada )..nukuhu ya wimbo fulaniMakonda tungekuwa na utawala bora angekuwa magereza kitambo sn
Mwandishi kafanya kazi yakeMuandishi kayakanyaga!
Haya majangili yalipaswa kunyongwa kabisa hayafaiJe kikwete na familia yake wangekuwa wapi tungekuwa na utawala bora (mama kahaba baba fisadi mtoto anauza ngada )..nukuhu ya wimbo fulani
SIo CHADEMA tu wanasiasa wote na vyama vyao ni mapimbi, walaghai na majizi.Chadema ni mapimbi
Hivi unaelewa unachoandika lakini? Aliyezungumzia Mahakama za Kimataifa ni mimi?..Hakuna mahakama ya kimataifa inayopokea kesi za jinai kama inayohusu shambulizi dhidi ya Lissu.
..Suala la Lissu linaweza kuwa handled hapahapa nchi ilimradi serikali iamue kutenda haki.
Ahahahahaha! Kwahiyo uliropoka ulipozungumzia suala la Mahakama za Kimataifa sio? Basi sawa. Pelekeni ushahidi Polisi ushughulikiwe. Msisahau kupeleka na ule Mwenyekiti wa kushambuliwa bada ya kugida Konyagi! Ahahahahaha!!!Hiyo ni jinai inayoshughulikiwa na mahakama za ndani. Hivyo ana back ya mfumo mchafu. Lakini jinai haifi.
Unajichekesha Nini dogo?! Soma uelewe, nilisema labda kama ingekuwa ni kesi inayoweza kusikilizwa kwenye mahakama za kimataifa, sio kwenye haya matawi ya ccm. Au unaandika ukiwa umekalia kigogo kwa nyuma Nini?Ahahahahaha! Kwahiyo uliropoka ulipozungumzia suala la Mahakama za Kimataifa sio? Basi sawa. Pelekeni ushahidi Polisi ushughulikiwe. Msisahau kupeleka na ule Mwenyekiti wa kushambuliwa bada ya kugida Konyagi! Ahahahahaha!!!
Ahahahahaha! Hapo unamdharau Bosi wako Lissu. Kumbe kuwa kwake Afisa wa Mahakama Kuu anafanya kazi kwenye Tawi la CCM? Ahahahahaha!!!Unajichekesha Nini dogo?! Soma uelewe, nilisema labda kama ingekuwa ni kesi inayoweza kusikilizwa kwenye mahakama za kimataifa, sio kwenye haya matawi ya ccm. Au unaandika ukiwa umekalia kigogo kwa nyuma Nini?
Taja hao wapumbavu wanaompa Makonda madaraka.Makonda ni muhuni muhuni ambae anakutana na wapumbavu anaowadanganya kumpa madaraka.
Bado hujasema wewe pimbi.Ukishadhulumu uhai wa watu, akili na hekima hupotea. Unabakia kuwa hayawani mara uparamie punda, mara malori, mara baiskeli, kesho utasikia ameingia mkutanoni akiwa amepanda nguruwe, fisi au ngiri.
Hahahhahahaa kama vile mmechanganyikiwa.Na bila shaka angekuwa alikwishahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kupanga na kusimamia mauajibya Ben na Azor.
Hilo ndo jibu sahihi kwake, akamuulize mama yakeMakonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Labda kuna ukweli fulani hapo kwani leo hii mama akiamua tu, kesho waliohusika tutawajua mradi hakati tawi alilokalia.Hilo ndo jibu sahihi kwake, akamuulize mama yake
Nikiwajua mimi inatosha. Usitafute faraja ya nafsi kupitia madhila yangu endapo nitawataja hao wapumbavu. Maana hawatokuwa tayari kiutwa wapumbavu japo ni wapumbavu.Taja hao wapumbavu wanaompa Makonda madaraka.
So what![emoji1787]NAPE katuma muandishi ili kumchafua makonda .....ninao ushaidi kuwa huyo muandishi alipokea maelekezo kutoka kwa NAPE
Hivi kuna mtu unamuuliza swali kama ilo mbona jibu ni la tu ..... swali ilo.anatakiwa kumuuliza samiaSo what!
Issue hapa ni Makonda kutoa jibu sahihi.
Alihusika au la.
Na atajamba jamba sana na hii issue.