Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Huyo mwandishi kama sio mwanaharakati basi awe muangalifu. Kuna vitu ukiamua kuvihoji basi uwe umejitoa muhanga, maana utafuatiliwa hadi ushangae.
Kama kuna aliemtuma kwenda kumuhoji hilo, basi amulipe pesa nyinginyingi kidogo.
Ila kama ni mwandishi /mwanaharakati basi harakati njema kwake.
 
..Hakuna mahakama ya kimataifa inayopokea kesi za jinai kama inayohusu shambulizi dhidi ya Lissu.

..Suala la Lissu linaweza kuwa handled hapahapa nchi ilimradi serikali iamue kutenda haki.
Hivi unaelewa unachoandika lakini? Aliyezungumzia Mahakama za Kimataifa ni mimi?
 
Hiyo ni jinai inayoshughulikiwa na mahakama za ndani. Hivyo ana back ya mfumo mchafu. Lakini jinai haifi.
Ahahahahaha! Kwahiyo uliropoka ulipozungumzia suala la Mahakama za Kimataifa sio? Basi sawa. Pelekeni ushahidi Polisi ushughulikiwe. Msisahau kupeleka na ule Mwenyekiti wa kushambuliwa bada ya kugida Konyagi! Ahahahahaha!!!
 
Unajichekesha Nini dogo?! Soma uelewe, nilisema labda kama ingekuwa ni kesi inayoweza kusikilizwa kwenye mahakama za kimataifa, sio kwenye haya matawi ya ccm. Au unaandika ukiwa umekalia kigogo kwa nyuma Nini?
 
Ahahahahaha! Hapo unamdharau Bosi wako Lissu. Kumbe kuwa kwake Afisa wa Mahakama Kuu anafanya kazi kwenye Tawi la CCM? Ahahahahaha!!!
 
Ukishadhulumu uhai wa watu, akili na hekima hupotea. Unabakia kuwa hayawani mara uparamie punda, mara malori, mara baiskeli, kesho utasikia ameingia mkutanoni akiwa amepanda nguruwe, fisi au ngiri.
Bado hujasema wewe pimbi.
 
Na bila shaka angekuwa alikwishahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kupanga na kusimamia mauajibya Ben na Azor.
Hahahhahahaa kama vile mmechanganyikiwa.

Kidume kinasimamisha majiji..we kibiibi uko JF
 
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana.

Hilo ndo jibu sahihi kwake, akamuulize mama yake
 
[emoji1787]NAPE katuma muandishi ili kumchafua makonda .....ninao ushaidi kuwa huyo muandishi alipokea maelekezo kutoka kwa NAPE
So what!
Issue hapa ni Makonda kutoa jibu sahihi.
Alihusika au la.
Na atajamba jamba sana na hii issue.
 
So what!
Issue hapa ni Makonda kutoa jibu sahihi.
Alihusika au la.
Na atajamba jamba sana na hii issue.
Hivi kuna mtu unamuuliza swali kama ilo mbona jibu ni la tu ..... swali ilo.anatakiwa kumuuliza samia
 
wandishi wa habari saa zingine hua wanaingia/ kuingizwa kwenye mitego ya kipumbavu sana cha ajabu nao wanajaa mazima.
 
Back
Top Bottom