Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sasa mbona tunamshambulia Makonda kuliko hao wenye mamlaka ya uteuzi?! Watu wanaotakiwa kuumia zaidi ni wanachama wa CCM, wajitokeze wapinge uteuzi wake.Makonda tungekuwa na utawala bora angekuwa magereza kitambo sn
Kamhoji mama yakoMkuu kwa hiyo chadema ajenga itakuwa ni kupigwa risasi Lissu?πππ
Huyu atakimbia mwenyewe majukwaaniMkuki ulipiga kwenye moyo unadhani angejibu nini, kusingekua na macho ya watu lingemkuta jambo
Upinzani tumelowa, tumebaki tunajifariji.Makonda atakimbia Majukwaani muda si mrefu , kawekewa chambo kameza ndoano , Kwisha habari yake
Angeulizwa jina lake halisi ingekuwaje?Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana
View attachment 2815475
DahCCM ni chama kilichojifia kitambo! Haiwezekani mpaka leo kinawatumia watu waliofoji vyeti vya kitaaluma kwenye nafasi zao za kiuongozi.
Tunapambana na shetani pamoja na wapambe wakeUpinzani tumelowa, tumebaki tunajifariji. Focus imekuwa Makonda kuliko hao waliomteua, kesho akipigwa chini kutakuwa na hoja gani nyingine ya kupiga kelele?
Maisha ya Mwanadamu ni muhimu kuliko Kiki za kupanda fisi na Pundaππππ Bavicha bhana
Nilijua hajaguswa kwenye mfupa.. Kaonesha rangi zake halisi sasaNatoa angalizo hili mapema ili tusije kuchafua amani kizembe.
Mwanasiasa aliyekomaa anapokuwa Majukwaani ni lazima akubali kuhojiwa na kuulizwa maswali , Ukijifanya unapokea kero , ni lazima ukubali pia kuulizwa .
Kwamba 'KAMHOJI MAMA YAKO' haiwezi kuwa kauli kutoka kwa kiongozi Makini , tena wa Chama kizee kama ccm .
Sasa tusikie Mwandishi huyo ametekwa , PATACHIMBIKA !
Kwamba 'KAMHOJI MAMA YAKO' haiwezi kuwa kauli kutoka kwa kiongozi Makini , tena wa Chama kizee kama ccm .[emoji848][emoji3064][emoji1544]Natoa angalizo hili mapema ili tusije kuchafua amani kizembe.
Mwanasiasa aliyekomaa anapokuwa Majukwaani ni lazima akubali kuhojiwa na kuulizwa maswali , Ukijifanya unapokea kero , ni lazima ukubali pia kuulizwa .
Kwamba 'KAMHOJI MAMA YAKO' haiwezi kuwa kauli kutoka kwa kiongozi Makini , tena wa Chama kizee kama ccm .
Sasa tusikie Mwandishi huyo ametekwa , PATACHIMBIKA !
Ndio majibu ya viongozi wengi wa Ccm.Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana
View attachment 2815475
Unachekelea upuuzi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bavicha bhana
Naunga mkono hoja πππMakonda atakimbia Majukwaani muda si mrefu , kawekewa chambo kameza ndoano , Kwisha habari yake