Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Hawa Waandishi wengine Huwa wanajitafutia matatizo wenyewe.Ukiwa unasomea udreva unaambiwa Ukiona kuwa unaweza kuzuia ajari jitahidi uizuie hata kama wewe utakuwa upande sahihi.
Anachezesha wire na anajua protective gear zake ni unga unga mwana
 
Ndio majibu ya viongozi wengi wa Ccm.
Wakisimama jukwaani hujiona Mungu watu.
Kwamba litokalo mdomoni kwake hata kama ni ushuzi yeye kutamka ni sawa.
Mzee Malecela aliwahi kuwaambia waandishi waende kuzimu. CCM ina wahuni wengi sana
 
CCM ni chama kilichojifia kitambo! Haiwezekani mpaka leo kinawatumia watu waliofoji vyeti vya kitaaluma kwenye nafasi zao za kiuongozi.
Kuwa Kiongozi Hakuhitaji Vyeti Wala Phd Ni Uzalendo Na Ujasiri Simtetei Makonda Ila Narekebisha Ulichokariri
 
Jibu alilopewa ni tamu sana,ukileta jeuri tunakupa kiburi
 
Wee huenda ni mmojawapo wa wasiojulikana
Ndio jibu alilopaswa kupewa huyo muandishi! Kwa hiyo kama ni kweli huyo Muandishi alitegemea apate jibu la ndio kutoka kwa makonda!

Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..
 
Sasa nani alimshambulia Lissu ni Makonda au Magufuli? Mwandishi kwanini hajakwenda kwa Mama Magufuli(Mama Janet) kumuhoji kuhusu tuhuma juu ya mumewe ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

..Ndio ukweli unatafutwa hivyo.

..Makonda angekuwa na busara angekuwa amejiandaa majibu ya kiueledi kuhusu swali hilo.

..Mosi, alipaswa kuwalaani waliomshambulia Tundu Lissu.

..Pili, alipaswa kumpa pole Lissu kwa mkasa ulimkuta.

..Tatu, angesema hahusiki na hawezi kujihusisha na tukio la kinyama kama lile.
 
Simtetei Makonda alivyoojibu lakini watu kama wewe mna double starndard.

Wewe kila siku kila hoja umekomalia Makonda ana makalio makubwa, kama kwamba wewe huna Makalio.

Baba, Mama yako, Mbowe, Lissu, SSH, Biden, wote, binadamu wote wana makalio.

Wewe umejikita kwa wiki mbili tatu na Makalio ya Makonda. Ukubwa au udogo wa makalio yake ni hoja za kitoto.
 
Huna hata ABC juu ya taaluma ya uandishi wa habari, hujui hata maana ya ku balance story, ila kwa wenye akili za kuzaliwa ni kwamba makonda ametuthibitishia uhusika wake
 
An eye for an eye. Ukiuliza maswali ya kipumbavu, utapata majibu yanayoendana na maswali yako. Kumbuka majibu ya Mwl. Nyerere akiwa Uwanja wa Ndege pale Nairobi enzi akiwa Rais. Kama hujui gugu!!
Mtoto wa shule acha siasa wewe Bado mtoto nenda kakariri Archimedes principle au majimaji war ama scramble & portion au mathematics ama kingereza...
Acha kuchanganya siasa na shule. Mtoto wa Shule πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio jibu alilopaswa kupewa huyo muandishi! Kwa hiyo kama ni kweli huyo Muandishi alitegemea apate jibu la ndio kutoka kwa makonda!

Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..
Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..[emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…