Paul Makonda ana miaka 53 ila nashangaa anavyosema kazaliwa 1982!

Gazet la nn sasa? umemaliza?
 
Gazet la nn sasa? umemaliza?
Ili uelewe...

Unaita gazeti kwa sababu inaelekea wewe na kusoma vitabu ili upate maarufa ni maji na mafuta, ndio maana hujui hata sifa za kiongozi bora wa umma..!

Mimi husoma vitabu hata vya page 5,000 mpaka 10,000 na namaliza...

Maarifa yamefichwa kwenye maandishi. Ukiwa mvivu wa kusoma, utakuwa mjinga maisha yako yote kama tu wewe ulivyo sasa..!

Pole sana..
 
Reactions: EEX
sasa kama mm mvivu wa kusoma, nimesomaje hl gazet lako, halafu mkuu mbona tunaanza kutwezana utu, kuna sehemu nimekubagaza miye?
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Muacheni apumzike kaka wa watu..
 
Makonda amemaliza shule ya msingi Nyanza, wilaya ya Nyamagana, mwaka 1997, so, kusema amezaliwa 1982 naona yuko sahihi kabisa, swala la kuwa na miaka 53 sio kweli.
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Ana Hitachi za mafuta ( depos ) kule kigamboni. Anashirikiana na kina farouk. Prsa kapata wapi huyu?
 
Mpuuzi bashite hana miaka 50 kajamaa ni kajinga sana na huko Arusha katoswe tu
 
Akagombee kwao huko usukumani kolomije mwanza.

Mkataa kwao mtumwa!
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Kwahiyo unataka na kaka yako apunguze? au shida yako n
ini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…