Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Hapo kwa Kasongo yeyeyee....Mobali na ngai....mbona wewooo......!!! hapana kwa kweli.Kuna watu hawapendi maneno mengi.
Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.
Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.
Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.
Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
Acha upumbavu makonda anafaa kwenye vyeo vya kipumbavu vya kick kama ukuu wa mkoa na wilaya acheni uchawaKuna watu hawapendi maneno mengi.
Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.
Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.
Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.
Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
Kama kuna mtu anaona kabisa eti makonda anafaa kupata uongozi wa juu wa nchi, basi mtu huyo bado ana upeo mdogo sana wa fikra.Huyo jamaa anafanya Kazi nzuri Ila uwezo wake kiutendaji ni wakaida Sana ni vile anafafiliwa Sana na watu na ni attention seeker.
Nilimpima katika vita ya madawa alilenga kujipatia faida zaidi na sio kuwasaidia vijana waathirika wa madawa.
🚮🚮🚮🚮🚮Kuna watu hawapendi maneno mengi.
Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.
Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.
Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.
Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
Amefanya kitu gani zaidi ya drama tu. Kitu gani makonda kishafanya cha kushikika na cha maendeleo. TajaKuna watu hawapendi maneno mengi.
Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.
Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.
Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.
Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
Rushwa mnazopokea hazitoshi?Mishahara ya watumishi wa umma ifikiriwe Kwa haraka.
RushwaJumaa anazingua tu. Mikwara mingi anapeleka wakandarasi rumande asubuhi ikifika jioni wako nje.