Paul makonda apewe wizara ya maji mwezi mmoja tu

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
393
Reaction score
615
Kuna watu hawapendi maneno mengi.

Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.

Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.

Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.

Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
 
Aliyewahi kuimudu wizara ya maji ni marehemu pekee na kwa aaaa makonda anaweza akaizundua kutoka usingizini wa porno
 
Apewe uwaziri mkuu kabisa.....jimbo la kigamboni lipo
 
Kuna watu hawapendi maneno mengi.

Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.

Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.

Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.

Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
Hapo kwa Kasongo yeyeyee....Mobali na ngai....mbona wewooo......!!! hapana kwa kweli.
 
Makonda amewahi kufanimiwa kwenye nini notable kama sio doing things for the lights.camera and action
 
Huyo jamaa anafanya Kazi nzuri Ila uwezo wake kiutendaji ni wakaida Sana ni vile anafafiliwa Sana na watu na ni attention seeker.

Nilimpima katika vita ya madawa alilenga kujipatia faida zaidi na sio kuwasaidia vijana waathirika wa madawa.
 
Kuna watu hawapendi maneno mengi.

Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.

Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.

Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.

Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
Acha upumbavu makonda anafaa kwenye vyeo vya kipumbavu vya kick kama ukuu wa mkoa na wilaya acheni uchawa
 
Huyo jamaa anafanya Kazi nzuri Ila uwezo wake kiutendaji ni wakaida Sana ni vile anafafiliwa Sana na watu na ni attention seeker.

Nilimpima katika vita ya madawa alilenga kujipatia faida zaidi na sio kuwasaidia vijana waathirika wa madawa.
Kama kuna mtu anaona kabisa eti makonda anafaa kupata uongozi wa juu wa nchi, basi mtu huyo bado ana upeo mdogo sana wa fikra.
 
Kuna watu hawapendi maneno mengi.

Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.

Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.

Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.

Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
🚮🚮🚮🚮🚮
 
Kwanza huko Arusha hasa Usa river watu wamebambikiwa bili za maji za bei juu.Hatima yake wanakatiwa maji wananchi wanahangaika wakati maji ni huduma.

Ukienda ofisini wahusika ni kujibu jeuri tu.Aweso sijui yupo wapi katika hili

Pre paid mita hawataki kuzifunga,inashangaza sana hii ccm na serikali yake.
 
Kuna watu hawapendi maneno mengi.

Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.

Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.

Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.

Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
Amefanya kitu gani zaidi ya drama tu. Kitu gani makonda kishafanya cha kushikika na cha maendeleo. Taja
 
Hakika Kwa tulipofikia kwenye sekta hii, Mheshimiwa huyo atatuvusha
 
Back
Top Bottom