Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Siku hizi kuna zile BEFORE and AFTER, ungeweka hiyo kitu kwa vichache vilivyofanikishwa na muishimiwa huyo kama juhudi binafsi, namaanisha ukiondoa unaibu aliokuwa nao ili angalau kule kwenye sijui mkoa na kamati kubwa tusifanye makosa ya kumkata mpiga kazi.
 
Kiongozi wa wasiojulikana kwishaaa habari yako.....karibu Kiberege-kilombero uje Kulima mpunga
 
Naitangaza kamati ya roho mbaya ya kigamboni kuwa ndio kamati yenye roho mbaya zaidi Afrika Mashariki
 
Seems like moyo umeumia sana.
Pole mkuu.

Kwani bado hawajala matunda ya kuwa mkuu wa mkoa wao!?
 
Sahau, atapewa hata kazi nzuri kuliko ubunge! Huyu ni wa kufa na kuzikana!
Hilo linawezekana lakini, kwenye kupigiwa kura ameshindwa, awe wa kutegemea teuzi!!! Wakati kwa mbwembwe alizofanya akiwa RC, alijua kuwa huko atapita ki ulaiiini!!
 
Kwani zile nafasi 10 za baba za uteuzi zitaathiliwa na Kura za maoni alizozipata usiyempenda
 
Watanzania wamekupa majibu yako, jifunze namna ya kuishi na watu...matendo yako si masafi mbele ya watanzania na mbele ya Mungu. Cheo kilikuwa dhamana tu, sasa dhamana imeondoka leo hii upo sawa na sisi tunaohongwa IST... sasa sijui mwanaume unahongwaje ili utoe nini....

Haya ndiyo mambo ambayo yamekufanya uadhibiwe na watu kushangilia kuadhibiwa kwako - read btn the lines..! Pole sana.
 
Hilo linawezekana lakini, kwenye kupigiwa kura ameshindwa, awe wa kutegemea teuzi!!! Wakati kwa mbwembwe alizofanya akiwa RC, alijua kuwa huko atapita ki ulaiiini!!
yap na funzo kapata pia hata akiwa pm ila cha moto kakiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…