Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Huna tofauti na wazazi wanaokumbatia watoto wezi kisa wanawapa zawadi
 
Mungu hujua mwisho kabla ya mwanzo...

Sasa hayo mapenzi ya Mungu yanayotajwa mwisho ni yapi ilihali kulikuwepo na mwanzo?

Unless baba_keagan ana imani na uendelevu wa mchakato
 
Baba aliyekutuma kigamboni hawezi kukuacha, atakubeba tu maana wewe kubebwa ndio silaha yako. Muombee maisha marefu huyu mzee wako maana, akitoweka tusipati picha utakuwa na maisha gani. Ungejua ungebaki tu na ukuu wa mkoa.

Nafikiri kuna ujumbe umeupata kwa haya matokeo pamoja na nguvu kubwa mliyotumia wewe na mzee wako. Si umeona na wale waunga mkono juhudi 99% chali.

Hata mzee wako wangegombea na membe au mtu mwingine yeyote ndani ya ccm na kura zikapigwa kwa uwazi kama zilivyopigwa hangeamini macho yake.
 
VOX POPULI VOX DEI " The voice of the People is the voice of GOD"
 
Peleke makalio yake mbele kwanza afute hiyo Rc dar es salaam 7bu tunaemtambua ni Bwana Kunenge
 
wanasafisha nyayo kwa ndimi, wakitemwa wanakuja kupiga mihayo kambini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…