Hata facial expression yake inaonesha hivyo.Makonda ameitwa kutumika kwa shuruti wala siyo kwa hiari yake.
Wakati wengi mnampongeza Makonda , tukio wachache tunaojua mengi tunamsikitikia Makonda.
Naunga mkono hoja.Nafasi hii awali ilikua siifuatilii sana,ila nilianza kuifatilia na kuiona ina nguvu kipindi cha polepole.
Uenezi ni ingine ya chama, kama unaweka mahaba pembeni na akili za kushikiwa na kina sehai, unapaswa ujue kuwa katibu wa uenezi ni kwamba unapaswa ukilala kichwa kiume wapi ilani yetu inalega lega. Ukiamka unauliza kwanin mahali fulan mambo hayaend.
Kipind cha papo kwa papo kilikua kinanisisimua sana jinsi muenez anavyofatilia ilan yake.ambayo yeye ndio anapaswa kuijua kiunaga ubaga.
Komredi makonda ni mbunifu .tunaombba aje na ubunifu wa kufatilia ilan tu enjoy na kaz. Nakubal sana mpaka leo ubunifu wa magari ya doria
Vipi Mbunge wa Kawe yule walivurugana kisa Shalawandu amemtumia salamu za pongezi kwa Bashite??Hadi sasa hakuna mwanaccm aliyeponda Uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi wa CCM ila Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameponda Uteuzi huo Moja ya sababu ni kuwa Komredi Makonda haruhusiwi kuingia Marekani
Mitandaoni zimejaa salamu za pongezi kutoka kwa Mawaziri wote, Wabunge wote, Wanec wote na Wanachama wa kawaida lukuki
Kwanini CCM wamefurahia sana Uteuzi wa Makonda ambaye ni Sukuma gang pure?!
Ujamaa ni Imani, CCM oyeeee😂😂
Ccm walifurahia kuuawa au kupotezwa kwa Ben saa8 na Chadema walichukizwa.Hadi sasa hakuna mwanaccm aliyeponda Uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi wa CCM ila Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameponda Uteuzi huo Moja ya sababu ni kuwa Komredi Makonda haruhusiwi kuingia Marekani
Mitandaoni zimejaa salamu za pongezi kutoka kwa Mawaziri wote, Wabunge wote, Wanec wote na Wanachama wa kawaida lukuki
Kwanini CCM wamefurahia sana Uteuzi wa Makonda ambaye ni Sukuma gang pure?!
Ujamaa ni Imani, CCM oyeeee[emoji23][emoji23]
Mzee mgaya unazeeka vibaya, kwa akili yako unazani mwana ccm ambae hajafurahia uteuzi wa makonda anawrza nyanyua kinywa chake kusema? Si atabaki anaugulia ndani kwa ndani tuHadi sasa hakuna mwanaccm aliyeponda Uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi wa CCM ila Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameponda Uteuzi huo Moja ya sababu ni kuwa Komredi Makonda haruhusiwi kuingia Marekani
Mitandaoni zimejaa salamu za pongezi kutoka kwa Mawaziri wote, Wabunge wote, Wanec wote na Wanachama wa kawaida lukuki
Kwanini CCM wamefurahia sana Uteuzi wa Makonda ambaye ni Sukuma gang pure?!
Ujamaa ni Imani, CCM oyeeee😂😂
Makonda sio mtu mzuri,muulize LisuHadi sasa hakuna mwanaccm aliyeponda Uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi wa CCM ila Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameponda Uteuzi huo Moja ya sababu ni kuwa Komredi Makonda haruhusiwi kuingia Marekani
Mitandaoni zimejaa salamu za pongezi kutoka kwa Mawaziri wote, Wabunge wote, Wanec wote na Wanachama wa kawaida lukuki
Kwanini CCM wamefurahia sana Uteuzi wa Makonda ambaye ni Sukuma gang pure?!
Ujamaa ni Imani, CCM oyeeee😂😂
Kupitia yeye hivi sasa magoli yote yatakuwa ya vichwa "Mama imara, CCM madhubuti sana"We missed him kwa kweli
Kaka Paul👊🙏
Chawa mmefufuka toka mashimoniTangu ameteuliwa Paul Christian Makonda, kuwa katibu wa uenezi wa CCM.
Kumekuwa na nguvu kubwa ya upotoshaji ikiwemo kusema!
Makonda alipigwa marufuku na serikali ya Marekani kuingia nchini humo pamoja na mkewe!
Hilo sio uongo ni kweli,lakini hawasemi sababu ya Makonda kupigwa marufuku hiyo.
Sababu ni kitendo cha Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam kuwashughulikia bila aibu Mashoga na wale washiriki mapenzi ya jinsia moja
Yaani LGBT.
Na ndio hao hao wanaomchafua kila uchao mitandaoni.