Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Daaaaa Chongolo angeomba kupumzika au wameyaongea ? Sio kwa dharau zile na kibriii.....
 
Mama kacheza Bonge la Pass bila hivyo CCM ingekuwa ishakufa maana CCM ya wakagi ule kupambana na Lissu wasingeweza ila kwa sasa wamefaulu Makonda yuko Vizuri kwenye hiyo sekta kongole Ccm
Nchi bila propaganda hutoboi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
CCM inatafuta maslahi yake mahala.

Paul ni kijana wa Msoga pia, Alikabidhiwa pale na Mzee Six, alikuwa chini ya uangalizi aka vetting ya msoga pale bahari ilipochafuka akaenda kasi sana akiamini ni mwanzo mwingine wa maisha mengine.

Bila shaka sasa nasaha na maarifa kutoka kwa mmiliki wa gang ambaye bado yuko hai vimemjenga na kumfanya kuzaliwa upya.
Hii ni kazi maalum kwake ambayo amepewa bahasha yenye scope ya kazi yake kuelekea 2025, baada ya 2025 kijana anaweza kwenda juu zaidi huku akisaidia tena lile gang kuelekea 2030.
 
Kupitia mtandao wa X, Waziri wa Habari, Nape Nnauye ameandika ujumbe kwa Paul Makonda aliyeteuliwa kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM.

Ameandika:
"Mdogo wangu Paul, Karibu sana kwenye Uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo, and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila lakheri!"


 
Mnafiki huyo! Makonda Boss wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…