Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Upinzani atakaokutana nao Makonda siyo kutoka nje ya CCM Bali mle mle ndani. Mf Nape na genge lake.

Makonda aliwaumiza sana watu ndani ya CCM na Serikali yake wakati wa Jiwe. Na hapa wasifikiri eti wametunyamzisha na Bandari yetu. Tutaua ndege wawili kwa Jiwe moja.
 
Aisee..
 
Ni muendelezo wa yale yanayofikiriwa kutowezekana lakini yakawezekana kwenye siasa, tulianza na Lowasa kupewa nafasi ya kugombea urais chadema na sasa ccm kumrudisha Makonda.

Chadema walikuwa na hesabu zao kwa Lowassa kama ambavyo sasa ccm wana hesabu zao kwa Makonda.
 
Back
Top Bottom