Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Atafanya mkutano na waandishi lini huyu kijana wa dathalam?
Paul Makonda
Paul Makonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akirudi Vacation.Atafanya mkutano na waandishi lini huyu kijana wa dathalam?
Paul Makonda
Mkweli ambaye hata jina lake ni fake!
Kesi za nyumba na wahindi kila siku
ukabila wa kutisha
kusingizia watu watumia madawa ya kulevya
kuonea watu kiasi cha kupigwa marufuku kutokuingia USA
TUENDELEE!!!
Nitafaidika nini kumshitaki tu mjinga tena kwenye mfumo huu wa mahakama fake kama za TZ ambazo kesi zinachukuwa miaka!.Mbona haujamshitaki, si unaprufu zote ushinde fasta au?
Nitafaidika nini kumshitaki tu mjinga tena kwenye mfumo huu wa mahakama fake kama za TZ ambazo kesi zinachukuwa miaka!. Angalia kesi za Covid 19 zimekaa muda gani! wataamua wakati bunge la miaka 5 limeisha sasa hapo tuna mahama kweli?? Tuache ujinga! hongera chawa
Hi tunaifuta mda sio mrefu.Moderetor mimi sifi leo sifurahishwi kabisa na
Ukosefu wenu wa adabu!(nimeanza hivyo ili mjue nachukia najua mtafta uzi uhuu ili jf member wasisome nilivyo wasema maana nyie mwataka tuwaone malaika ili hali mu wanadamu kama sisi).
Katibu Mwenezi mteule wa ccm Ndugu Paulo Makonda akipitia kwenye mitandao kuna alligation nyingi sana zinatupwa kwake hasa n Makamu Mwenyekiti Ndugu Tunsu Lisu hizi aliigation ni nzito haifai kuwa katibu mwenezi n allligation za namna hii.
Kwa kuwa Tundu Lisu anasema alipata taafira kutoka kwa cfedible source of information yakuwa Ndugu Paulo Makonda alikuwa miongoni mwa waratibu wa kikosi kazi kilichotaka kumtoa uhai Tundu Lisu,ili jambo hatuwezi sisi lifumbia macho
Kama kweli Ndugu Makonda anaona yanayosemwa siyo sahihi sisi wananchi na wadah tunamshauri aende Mahakamani akamshitaki Tundu Lisu ili hii alligation iweze futwa kinyume chake sisi kama wadah wa siasa tutampokeaje mtu tuliyeambiwa ni mmuajo kuja kwetu kueneza chama?
Moderetor nawaomba sana HOJA YANGU IPOKELEWE IJADILIWE HACHENI WATU TUWE HURU.
hivi hiki nimachokihoji kama aliyenusurika kuuwa ni Baba yako au Mama yako na anae shutumiwa yupo wewe moderetor ungefuta uzi wangu?
Unaleta tuhuma after the event. Tuhuma ulitakiwa kutoa kabla ya Rais Samia kumchagua Makonda kuwa Katibu Mwenezi.Tuhuma nzito sana , naona serikali IPO kimya , hata kiongozi wa juu akituhumiwa na tuhuma nzito kama izo inabidi ajiuzulu Ili kupisha uchunguzi.