Pamoja na viongozi wa Africa kuwa na ugonjwa wa kutaka kufia madarakani ila kutunishia msuli mabeberu kwa nchi za ulimwengu wa tatu sioni kitu.Hawa wote hakuna cha maana walifanyia nchi zao. Wengi walikuwa ama kwa kuuwawa au kwa kupinduliwa. Ndiyo njia unayotaka Magufuli apitie? Wote wameacha nchi zao kwenye mateso makubwa kwa sababu ya kuitunishia msuli USA.
Yani una maanisha bashite angekua rais wa tanzania?Mhariri naomba rekebisheni title ya thread ianze na herufi kubwa mwanzo wa sentensi.
Isomeke Darubini sio darubini.
Mimi mwenyewe sitamani Makonda awe Raisi, ukuu wa mkoa wenyewe naona ni viatu vikubwa sana kwake.Aisee sitamani mtu kama makonda aje kuwa raisi wa nchii Mungu apishe mbali kwakweli
Hapana, tena hafai hata kidogo kuwa raisi au mkuu wa mkoa.Yani una maanisha bashite angekua rais wa tanzania?
Kama umemaanisha hivi basi wewe ni MPUUZI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dhahiri kwamba Makonda binafsi hana uwezo wowote wa kufanya chochote kwa mtu yeyote , body structure yake haionyeshi uwezo wowote wa mwili wake kupambana na yeyote , ni mtu wa kawaida sana , hana ubavu wa kutenda uhalifu aliotajwa kuhusika nao wa kudidimiza demokrasia ama labda kuzima uhai wa yeyote .
Sasa napenda kujua , Je alipokuwa anatekeleza unyama wake huu alishirikiana na akina nani , ni kikundi chake cha kihalifu ama ni idara ya serikali , kwa maana ya Polisi , Tiss ama JW ?
Natanguliza shukrani
Ahsante mkuu, usingenistua hilo kosa sikuliona kabisa.
Mimi sijakataa hoja zao, lakini nimeonesha hisia zangu huenda kuna jambo la ziada zaidi ya vurugu za Makonda.Mimi nakushauri ungeanza kwa kujibu hoja za mabeberu ouhusu bashite. Wamesema anakiuka haki za binadam. Je ni kweli? Sasa kwenye andiko lako umeonesha ushabiki tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha we jama weweKama wakiweza hilo nitaamini tz ndo nchi no. 1 duniani nchi yenye nguvu ya kijeshi.
Anamtumia makonda?, acha utani mkuuTrump anatutumia kama kete ya uhaguzi , hana busara kabisa.
Hiyo ni fake.....Hii Majalala ni takataka moja ya ajabu kutokea
Badala ya ku calm down the situation,anaweka moto zaidi,na loser ni sisi zaidi
Kasomea wapi diplomacy huyu Majalala?
Mahiga arudi,watu sober!
Ongezeko la mataifa ya kiafrika katika orodha ya mataifa yaliyokatazwa kuingia marekani, ni kete yake ya kisiasa tu mkuu, Tanzania haina madhara yeyote yale ya kufanya ikumbwe na katazo hilo. Huyu mzee ana matatizo.Anamtumia makonda?, acha utani mkuu
Mkuu sio kweli Ila sibishani na weweOngezeko la mataifa ya kiafrika katika orodha ya mataifa yaliyokatazwa kuingia marekani, ni kete yake ya kisiasa tu mkuu, Tanzania haina madhara yeyote yale ya kufanya ikumbwe na katazo hilo. Huyu mzee ana matatizo.
Nadhani anawadanganya wahafidhina wa kimarekani na ile filosofia yake ya kuifanya marekani taifa kubwa tena, hivyo kupunguza idadi ya wahamiaji itamfanya aonekane ni mtu makini na anayesimamia ahadi zake.
Mambo ya kitoto kabisa toka kwa mzee mzima kama huyo. Tanzania ni mahali salama kabisa. asituhusishe kwenye siasa zake.
Uhaloooo