Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Hawa wote hakuna cha maana walifanyia nchi zao. Wengi walikuwa ama kwa kuuwawa au kwa kupinduliwa. Ndiyo njia unayotaka Magufuli apitie? Wote wameacha nchi zao kwenye mateso makubwa kwa sababu ya kuitunishia msuli USA.
Pamoja na viongozi wa Africa kuwa na ugonjwa wa kutaka kufia madarakani ila kutunishia msuli mabeberu kwa nchi za ulimwengu wa tatu sioni kitu.

Beberu hapendi kuona nchi ikiwa na mafanikio kupitia rasilimali zake.
 
Aisee sitamani mtu kama makonda aje kuwa raisi wa nchii Mungu apishe mbali kwakweli
Mimi mwenyewe sitamani Makonda awe Raisi, ukuu wa mkoa wenyewe naona ni viatu vikubwa sana kwake.
Makonda nafaa kuwa nafisi za kufanya kazi chaini ya mtu, asipate nafasi ya kuiwakilisha serikali kwa umma au duniani.
Akikaa ktk majukwaa na vipaza sauti mlazima ataharibu tu, hajui kuchunga kauli zake.
 
Bora watusaidie......watz hatumtaki Ila tunashindwa kumuondia kwa ujinga wetu wkt anaharibu nchi
 
Yani una maanisha bashite angekua rais wa tanzania?

Kama umemaanisha hivi basi wewe ni MPUUZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, tena hafai hata kidogo kuwa raisi au mkuu wa mkoa.
Mada yangu sijakusudia kumsifia au kumpigia debe Makonda.

Nadhani watanzania wengi tuna shida ya kusoma na kuelewa. Nimesema huenda mabeberu wanahisi mtu kama Makonda au wa ubabe ubae kama wa boss kuu au wale wanao onekana kupendwa na boss kuu wanaweza kuandaliwa kurithi kiti kikuu.

Sasa wanachukua tahadhari mapema kabisa asiingie tena mtu wasie mtaka wao mabeberu.
 
Kwani Pascal Mayalla anasemaje?
Ni dhahiri kwamba Makonda binafsi hana uwezo wowote wa kufanya chochote kwa mtu yeyote , body structure yake haionyeshi uwezo wowote wa mwili wake kupambana na yeyote , ni mtu wa kawaida sana , hana ubavu wa kutenda uhalifu aliotajwa kuhusika nao wa kudidimiza demokrasia ama labda kuzima uhai wa yeyote .

Sasa napenda kujua , Je alipokuwa anatekeleza unyama wake huu alishirikiana na akina nani , ni kikundi chake cha kihalifu ama ni idara ya serikali , kwa maana ya Polisi , Tiss ama JW ?

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakushauri ungeanza kwa kujibu hoja za mabeberu ouhusu bashite. Wamesema anakiuka haki za binadam. Je ni kweli? Sasa kwenye andiko lako umeonesha ushabiki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijakataa hoja zao, lakini nimeonesha hisia zangu huenda kuna jambo la ziada zaidi ya vurugu za Makonda.

Jiulize kwanini Uganda wamepitisha sheria kali sana za kuwashungulikia mashoga, pia wanafanya vitu kama anavyo tuhumiwa makonda dhidi ya wapinzani kama akina Robert Kyagulanyi Ssentamu a.k.a Bobi Wine, lakini hawawachukulii hatua kama Makonda?
 
Hii Majalala ni takataka moja ya ajabu kutokea

Badala ya ku calm down the situation,anaweka moto zaidi,na loser ni sisi zaidi

Kasomea wapi diplomacy huyu Majalala?

Mahiga arudi,watu sober!
Hiyo ni fake.....
changia taarifa ambazo ni authentic
 
Anamtumia makonda?, acha utani mkuu
Ongezeko la mataifa ya kiafrika katika orodha ya mataifa yaliyokatazwa kuingia marekani, ni kete yake ya kisiasa tu mkuu, Tanzania haina madhara yeyote yale ya kufanya ikumbwe na katazo hilo. Huyu mzee ana matatizo.

Nadhani anawadanganya wahafidhina wa kimarekani na ile filosofia yake ya kuifanya marekani taifa kubwa tena, hivyo kupunguza idadi ya wahamiaji itamfanya aonekane ni mtu makini na anayesimamia ahadi zake.

Mambo ya kitoto kabisa toka kwa mzee mzima kama huyo. Tanzania ni mahali salama kabisa. asituhusishe kwenye siasa zake.
 
Ongezeko la mataifa ya kiafrika katika orodha ya mataifa yaliyokatazwa kuingia marekani, ni kete yake ya kisiasa tu mkuu, Tanzania haina madhara yeyote yale ya kufanya ikumbwe na katazo hilo. Huyu mzee ana matatizo.

Nadhani anawadanganya wahafidhina wa kimarekani na ile filosofia yake ya kuifanya marekani taifa kubwa tena, hivyo kupunguza idadi ya wahamiaji itamfanya aonekane ni mtu makini na anayesimamia ahadi zake.

Mambo ya kitoto kabisa toka kwa mzee mzima kama huyo. Tanzania ni mahali salama kabisa. asituhusishe kwenye siasa zake.
Mkuu sio kweli Ila sibishani na wewe
 
Back
Top Bottom