TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Pamoja na viongozi wa Africa kuwa na ugonjwa wa kutaka kufia madarakani ila kutunishia msuli mabeberu kwa nchi za ulimwengu wa tatu sioni kitu.Hawa wote hakuna cha maana walifanyia nchi zao. Wengi walikuwa ama kwa kuuwawa au kwa kupinduliwa. Ndiyo njia unayotaka Magufuli apitie? Wote wameacha nchi zao kwenye mateso makubwa kwa sababu ya kuitunishia msuli USA.
Beberu hapendi kuona nchi ikiwa na mafanikio kupitia rasilimali zake.